sabari
Senior Member
- Jul 23, 2015
- 153
- 53
Rest in peace a Brooklyn MC Sean Price, who died in his sleep. Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa Hip Hop huyu jamaa ni one if the illest MC na kuna wasanii wa nyumbani kama kina Nikki Mbishi, Songa wanamrefer sana kwenye baadhi ya nyimbo zao.
Ulimwengu wa Hip Hop utamkumbuka
Ulimwengu wa Hip Hop utamkumbuka