TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Anazani History ni zile simulizi alizokuwa anasimuliwa na washkji zake,Anazani kila tukio lilopita basi ni la kihistoria,,PHYSICS ni ngumu sana lakini hiyo histry inayoizungumzia ndio so

kaka ilinibidi niingie chimbo kidogo,
niende kuisaka ,
iyo theory ingaongelea ,
when rotating object move at certain inclination and huku inarotate
hapo unakuta how acceleration inakuwa affected na friction force, radius na inertia.

very complex, hususani unapotafuta accn kwenye kitu chenye friction force, huku kina rotate.
ingawa nakaidea but sijui mwamba atakuwa alifikiria nini b4

ila idea yake ilikuwa how to find accn in body rotate in inclined plane
 
Yeah true they lack common social skills kama Nikola Tesla
 
Yes inclined plane boss

Nakumbuka kiasi though I am a Med practitioner
 
Wala hujamchanganya. Chegere alianza kazi BOT na ndipo baadae akarudi Chuo kusoma na kuamua kufundisha. Hadi leo yupo UD - Economics Department
Hajawahi kufanya kazi BOT ila alivyomaliza degree ya kwanza,BOT wakampa ufadhili wa kusoma degree ya pili wakati huohuo udsm wakampa kazi kwa mkataba kabla ya kuja kuajiriwa na utumishi baadae
 
sizani kama tunaleta ligi, kwasababu" if I am man , i dont need to prove i am confidence " itoshe kusema he is best , so kupata history kwangu sijui kama kuna uhusiano wowote na mada tajwa
Hakuna anaebisha kwa hilo kuwa he is the best,hilo la kuliona history ni somo rahisi ndo tunalolikataa
 
Unataka kusingizia na ww ni kipanga ambae hukusoma instructions vizuri!!???
ww utabaki kuwa kiazi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji14]
Kuna watu ni mashujaa wa kupinga jamani[emoji23][emoji23]
Asee wanampinga hadi T.O?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wabishi aisee sijapata kuona.mimi nimesoma na Martin chegere ukonga primary school , miaka yote mimi nakamua tuition yeye hakuwahi kusoma tuition.lakini kupata 100 mitihani yote ilikuwa kawaida sana.
Tulivyokuwa darasa la sita mwalimu mkuu akamualika Martin chegere afanye mock ya darasa la Saba wakati yeye ni yupo la sita.
Trust me Martin aliongoza upande wa shule ya ukonga mock akiwa darasa la sita.
Ndio maana alipofika necta ya darasa la Saba mwaka wake akaongoza kitaifa na wala hatukushangaa
 
Chegere is blessed
 
Tatizo kaka mkubwa umeanza kuwataja manabii walioletwaga Duniani kwa sababu maalumu,Marehemu ubongo wake ulikuwa unafanya kazi vizuri sana sema hakupata nafasi ya kujiendeleza

What do you mean hakupata nafasi kujiendeleza, alinyimwa mkopo ???

Huyu sio pointi tatu peke yake kwenye historia ya TZ , wengine mbona waliendelea vizuri?

Elias Kihombo was a small thinker. Kwa yeye, ma tuition ya sekondari na Alteza ya bomba mbili was all he could dream of.

Si kosa letu jamii au serikali kwamba alifeli chuo au hakuendelea kitaaluma. Kosa la serikali ni kuwaita hawa watoto Tanzania One wakati mitihani ya NECTA sio standardized, hujui nani kampita nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…