TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Naye passion yake ilikuwa huko PCM na Ndiyo maana akaenda huko ..

Kwahiyo average ya 98%advance we unaiona ndogo??ulitaka apate ngapi labda???

Kwahiyo unataka kusema wanaosoma arts ni magenius kuliko wanaoenda combinations za sayansi??
Unaanza Sasa kuchekesha[emoji1787]
Ndiyo maana huko wamejazana kila mtu anasoma arts..
Kama wangeona sayansi rahisi basi wangeenda kusoma wapate kama jamaa..

Bado atabaki kuwa genius tu bro hata kama hutaki..
Kuwa genius si lazima apublish hizo papers Kama unavyosema wewe hapo juu..yeye aliamua kufundisha kwa sababu ndicho kipawa alichojaliwa na Mungu ..wewe Kama unaona kupublish papers ni muhimu kuliko kufundisha basi kafanye wewe.

Hongera Sana ulipasua ila Nikajua ulikuwa T.O !
Kumbe Wala hukuwa T.O
Mu acknowledge tu! hutapungukiwa kitu.
 
Huyo ni mwenzako anayesema kuandika kitabu cha physics ni genious.

Kupata A ya physics ni genious. Yes, anaweza kuwa genious ila sio kwa level ambayo watu wanataka kutuaminisha kwamba physics pekee ni benchmark ya kuonekana genious.
Kama kingekuwa kitu Cha kawaida basi kila mtu angeandika.

Acha kudharau vitu.
 
Ameumwa Nini?
 
Ulisoma shule gani ,olevel na Advance
 
Tansia ya physics na mathematics kusema kweli Imepata pigo kubwa nchini karibuni. Muddy physics katangulia tena leo Kihombo. Janjajanja akina arts History geography yanazidi kudunda tu kwenye ardhi ya mola
Ila we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja wakukute
 

Correct: yuko advance (kwa mantiki ya kuwa A'level)
Correct: yuko advanced level

Incorrect: yuko advanced
Incorrect: yuko advance level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…