TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Wengi wanaoponda hapa ni wale jamaa aina ya "wivu"...

Tumesoma nao MASHULENI...
Tuko nao MAKAZINI.....

Nilichojifunza toka utoto ukiwa exceptional darasani ama hata "ukiwa nao mpunga mwingi...hutokosa "maadui" kuanzia ndani ya FAMILIA.....na ndio maana wanatania "bongo wanga wengi"🀣🀣🀣.

Cynicism tu.....
 
Huyu mwamba hakumaliza petroleum engineering pale udsm, alidisco akiwa third yr. nlikuwa nyuma yake mkuu. Mwamba alikuwa anajua sana, sema petroleum ilimpeleka puta sana.
Sasa mbona Baba Swalehe anasema jamaa aligraduate na degree ya Petroleum Engineering! Watu wengine mafala sana. Kuleta habari za uongo uongo tuuu
 
Wa kwanza kabisa professor kabudi macho ya kinyonga!
 
🀣🀣Shangaa dada yangu...

Yaani upate PCM AAA...halafu uwe na uwezo mdogo?!!!

Hiyo AAA ya HGL pia si rahisi....

Wivu na "usnitch" tu kwa marehemu......

Wanasema "bongo nyoso"🀣🀣
 
Hebu waambie na wewe dada

Mtu ana average 98% masomo yote
Phy 99%
Chem 97%
A.maths 98%
Gs 98 %
Wanasema alibahatisha
Hivi unaweza kubahatisha yote hayo?[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Hivi unaweza bahatisha bila kuwa na akili??
Yaani tuende tu na hiyo physics...upate 99% kwa kubahatisha??hakuna bahati za hivyo duniani.

Yaani watu wamekomaa ,hawataki kukubali [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na nimegundua wengi hawajaisoma hata hiyo physics..mziki wake hawaujui.
Ila wamekomaa tu kusema "alibahatisha"

Watanzania wivu unatusumbua..
Jamaa alikuwa kichwa..katuzidi wengi tu humu..yawezekana wote.
Ila watu ndo hawataki sasa kukubali.
 
R I P kihombo
 
Sema mchizi anaoneka alikuwa anawagonga sana watoto wa kike na umeme ndio unaonekana usoni ndio ulio mmwaga chini. Masikini sijui alikuwa Hali dawa za wazungu ambazo alikuwa anawaona kama hawana akili
Mmhhh!!!,Kuna ukweli hapo?.
 
Unaniandikia majitu mengi hata kusoma nashindwa.

Sijui ni waraka au malalamiko?

Eleza huyo Kihombo wako alifanya moja, mbili, tatu.

Usinifokee. Eleza.
 
Labda na wale wa kwanza kwenye mashule yao.
 
Kama huna akili ukipewa pepa ya physics hata siku 1 kabla ya mtihani hupati 95+
Kazeni vichwa.
Wengi wamekazana tu kubeza hapa
Ukweli ni kwamba wanaweza kupewa marking scheme siku moja kabla ya paper na wasitoboe.
Kama unajua unajua tu!
Physics si somo la kubahatisha kama wanavyotaka kutuaminisha hapa..
Yaani eti jamaa alipata A Tena ya 99 kwa bahati!!aki ya nani Kuna vitu vinachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Law and Medicine ni preferences.. what my heart desires.. naweza pia kupenda ushairi..kama Shaban Robert! Na nikawa bora sana maana akili na maarifa nimeyainvest huko!

Kwingine kote umesema vema!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Joel nae ni TO wa mwaka gani na kwa mchepuo upi huyu jamaa
 
Siku zote sijawahi kuamini sifa za kujisifia mwenyewe hii ni chai kabisa eti sababu za kiusalamu go to hell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…