Restless devevopment volunteers dodoma network inapenda kutoa taarifa kuwa tunasajili wanachama wapya, kwa wanafunzi wote wa UDOM na maeneo jirani mnakaribishwa kujiunga na restless tufanye kazi ya jamii kwa pamoja.
Tafadhali mtaarifu na mwenzio. Pia unakaribishwa kwa swali lolote kuhusu restless development
Tunafanya kazi za kujitolea kwa jamii "voluntery works" kama vile kutembelea wagonjwa, kutoa msaada kwa kidogo tulichonacho kwa watoto yatima, tunatoa elimu kwa vijana mashuleni yanayohusu vijana pia kupitia redio presentation na mengineyo mkuu