nyendo kintu
Member
- May 31, 2011
- 20
- 2
Kaka interview tayari (japo sina uhakika kwa post zote, ila kwa niliyoomba mimi tayari interview) na imefanyika kitaalamu sana tu
ya finance je? Dah jaman
Kama hawajakutaarifu basi ujue imetoka maana kama sikosei jana ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa interview awamu ya kwanza huku wengine wakiwa tayari wameshafanya zote 2 na kushuka kandarasi kama anavyodai mkuu hapo juu. Mwenyewe nimeshapiga zote 2 nangoja tu majawabu ya mwisho