Result Slip za Form Six 2014 zimetoka?

Result Slip za Form Six 2014 zimetoka?

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
pamoja na leaving certificates! Kama umepata nitaarifu
 
Results slip yeah zimetoka. Ila living certificate bado hazijatoka nilienda last Friday school
 
ndio mkuu result slips zimeshatoka tokea mwezi uliopita binafsi niliichukua tokea tarehe 11 mwezi wa 8 so usijali kuhusu hilo kaka
 
Kwa hiyo kumbe hizi slip ni lazima kwenda nazo chuo sio?
 
usitegemee kupata leaving, hawatoi siku hizi ni vyeti basi, coz na waliopata zero wanapewa vyeti
 
Back
Top Bottom