SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Nina apply kwenda form v July hii. Moja ya nyaraka inayohitajika na shule niliyoapply ni results slip. Sina mawasiliano ya haraka na shule niliyosoma o level ili kujua kama results slip zimewasili na nashindwa kufunga safari kwenda shuleni kuulizia kwa sababuni mbali na ni gharama kubwa kusafiri kwenda huko. Kwa wale wenye uzoefu wa utumaji wa result slip naomba mnieleze kama kuna uwezekano zimeishatumwa mashuleni, asante