Nina apply kwenda form v July hii. Moja ya nyaraka inayohitajika na shule niliyoapply ni results slip. Sina mawasiliano ya haraka na shule niliyosoma o level ili kujua kama results slip zimewasili na nashindwa kufunga safari kwenda shuleni kuulizia kwa sababuni mbali na ni gharama kubwa kusafiri kwenda huko. Kwa wale wenye uzoefu wa utumaji wa result slip naomba mnieleze kama kuna uwezekano zimeishatumwa mashuleni, asante
Acha uongo mkuu SHIEKA,au ni mwanao,unauliza kwa niaba yake?
godimpare shika adabu yako! Umeona wapi nimepata division five? Kama hujui jibu la swali nililouliza ukikaa kimya utapoteza nini? Majibu yako hayaridhishi hata kidogo.bado kijana umepata division five nini ndo unaharakisha kwenda private? na ni shule gan? ipo wap? ada sh ngap? na unachukua combn gan? na je una malengo yap? na unataka uyatimizeje? Na je ukifeli six s umepoteza muda!? Hakuna njia nyingne ya shotcut ba? Nijibu maswal tafadhali
Niache uongo? Wanionaje Kutoka Mirembe? Wadhani mimi ni profesa? Mimi bwana nimemaliza form four 2013 na nina usongo na form five.Acha uongo mkuu SHIEKA,au ni mwanao,unauliza kwa niaba yake?