Retired Broiler Parent stock mwenye zaidi ya 3KG kwa TZS 13,000

Retired Broiler Parent stock mwenye zaidi ya 3KG kwa TZS 13,000

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
25
Habari wajasiriamali mwenzangu,

Pata kuku wenye zaidi ya Kilo 3 kwa TZS 13000 tu,ni Retired Parent Stock katika species ya Arbor Acer.

Wametuzwa kisasa kabisa,kama utahitaji maelezo zaidi tuwasiliane kwenye no 0717332652.

Mchana mwema wadau.
 
Attachments

  • broiler_PS.jpg
    broiler_PS.jpg
    6.5 KB · Views: 135
Asante mkuu, vipi hawa kuku hawatagi kabisa? Ni kisu tu? Utatusogezea au?
 
Bado wanataka but rate yake inaanza kudecline,so if u keep them then unauza kidogo kidogo utapata mayai,guys this chicks wanakilo za kutosha,wamelishwa CP feeds,and I guarantee u,no more chemical za kuwakuza,it's pure CP feeds
 
Ok unawaleta lini? Nitakutafuta kuanzia tar 10 jan nichukue wachache, akiwepo anayetaka wengi nitakwambia
Bado wanataka but rate yake inaanza kudecline,so if u keep them then unauza kidogo kidogo utapata mayai,guys this chicks wanakilo za kutosha,wamelishwa CP feeds,and I guarantee u,no more chemical za kuwakuza,it's pure CP feeds
 
Powaa wadau,hata wale wanaohitaji wachache wa kula home tutaangalia jinsi ya kufanya,powaaaa wadau,kuku wako zaidi ya 2000,madume na majike
 
Mama Joe vifaranga vinaendelea powaa,mama zake ndio tunawauza now,hope u see the progress za hao Doc
 
Yeah vifaranga wako poa nashukuru sana kwakweli viko strong, tuombe tu. Hao mama zao nitakucheck ktkt ya mwezi sasaivi nachakarika na hawa kidogo
Mama Joe vifaranga vinaendelea powaa,mama zake ndio tunawauza now,hope u see the progress za hao Doc
 
Back
Top Bottom