Retired IGP MAhundi is no more

Edmond

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
359
Reaction score
54
Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu kaaga dunia mchana huu, poleni sana wafiwa
 
BABA angu mkubwa kabisa huyo..too bad as a family hawajatusaidia hata chembe..lakini poa zake..haya kwaheri "baba"
 
Pole wafiwa.nilisoma na mtoto wake frank mahundi sekondari miaka ya mwanzon ya tisini kuna ata mtoto rpc joseph nguruwe walikuwa darasa moja. Mungu awape nguvu katika kipind hiki kigumu
 
familia zetu za kiafrica hizi, ukiwa nacho ukoo mzima wanataka uwasaide kama vile mwenyewe huna majukumu..... na ukishawasaida ukipata shida kama utawaona.....................................

rip mahundi.

BABA angu mkubwa kabisa huyo..too bad as a family hawajatusaidia hata chembe..lakini poa zake..haya kwaheri "baba"
 
BABA angu mkubwa kabisa huyo..too bad as a family hawajatusaidia hata chembe..lakini poa zake..haya kwaheri "baba"

Pole kwanza eventhough you dont seem to be shocked with news. Kijana nafikiri umesahau methali inayosema mtegemea cha ndugu hufa masikini na usaidiwe kwani kilema. Acha zake hizo mwache baba wa watu alale salama, mungu ndio ataemjudge.
 
familia zetu za kiafrica hizi, ukiwa nacho ukoo mzima wanataka uwasaide kama vile mwenyewe huna majukumu..... na ukishawasaida ukipata shida kama utawaona.....................................

rip mahundi.
ndio maana mtu unafanya kazi mika zadi ya 30 lakini ukistafu unakua ombaomba.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…