Retired judge dan petro mapgano is no more

Retired judge dan petro mapgano is no more

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
3,517
Reaction score
1,363
Jaji Mstaafu Dan Mapigano amefariki Dunia tarehe 15 januari 2011 katika hospitali ya Aga Khan ambako alikuwa amelazwa baada ya kupata stroke.

Maziko yanategemewa kuwa tarehe 19 Januari makaburi ya Kinondoni. Maziko hayo yatatanguliwa na shughuli za mazishi katika uwanja wa Mnazi mmoja.
 
Mungu ailaze roho ya Mh Mapigano mahali pema peponi, AMINA
 
TUTAKUKUMBUKA KWA MISIMAMO YAKO katika Fani ya Sheria.
Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.Amen
 
Damn..

Nimepokea habari hizi kwa mshtuko Mkubwa.. R.I.P Hon. Mapigano
 
Back
Top Bottom