Hakuna legal requirement but ni kanuni kwenye standing orders kuwa ukomo wa pensionable utumishi wa umma ni miaka 60. Baada ya umri huo, unaweza kuendelea kwa mikataba ya miaka 2 isiozidi mara mbili.
Hata hivyo limit hiyo haihusu teuzi za rais kwa nafasi ambazo sio za utendaji, uwaziri/ uenyekiti wa bodi, na ujumbe kwenye tume zozote.