Retirement = kustaafuKwa hiyi retirement huondoki na chochite cha maana?
Wanasema ni kupunguza wafanyakazi kutoka na mapatao kuyumbaRetirement = kustaafu
Retrenchment = kushushwa cheo
Retirement-Umejibu vyemaRetirement = kustaafu
Retrenchment = kushushwa cheo
kama unampunguza mfanyakazi kutokana na mapatano - inaitwa Termination by AgreementWanasema ni kupunguza wafanyakazi kutoka na mapatao kuyumba
hizi huwa mfanyakazi na kampuni wanakaa mezani kumaliza uhusiano wa ajira kwa maridhiano mfano mkataba unaweza kuwa umebakia miezi 9 ila kuna namna kampuni inakuwa haikuhitaji ila sasa kusema moja kwa moja wanakuwa hawana sababu za wazi hivyo wanakuita mumalizane sasa nini kinajadiliwa hapo kwanza kampuni itakuambia hii miezi 9 iliyobaki labda tutakulipa mishahara ya miezi 7 ongeza na likizo na kiinua mgongo mkishakubaliana labda jumla mil 10 ndo mnasign sasa kitu kinaitwa Termination by agreement settlement of disputes hapa mashahidi wa pande zote 2 wanakuwepo ili kuleta tija nikitulia ntaleta sample ya hayo makubaliano yapaswa kuwajeTermination by agreement Huwa inatofautiana vipi na hizi zingine?
Mkuu hapo kwenye Retrenchment kama Boss Sababu zake za kukupunguza ni kuwa Uchumi umeyumba Ila kiuhalisia haiko hivyo Ila ni chuki zake tu binafsi (Personal Grudges) Sheria inasemaje kuhusu hili?kama unampunguza mfanyakazi kutokana na mapatano - inaitwa Termination by Agreement
Ila kama unamuondoa au kumpunguza mfanyakazi kwa sababu za kiuchumi au kuyumba kwa mapato kama ulivyoandika- Retrenchment
Rentrenchment na Termination by Agreement ni vitu viwili tofauti na hata taratibu za kusitisha mkataba au ajira ya mfanyakazi zinatofatiana
Na ndo mchezo waoMkuu hapo kwenye Retrenchment kama Boss Sababu zake za kukupunguza ni kuwa Uchumi umeyumba Ila kiuhalisia haiko hivyo Ila ni chuki zake tu binafsi (Personal Grudges) Sheria inasemaje kuhusu hili?
Maana anakupunguza then anaajiri mwingine,anapunguza mwingine then anaajiri tena mwingine and so and so kwa hili Sheria inasemaje hâta baada ya kujiridhisha kuwa Uchumi si sababu ya kufanya apunguze..
pole sana,navyofahamu kama mwajiri atapunguza wafanyakazi kw sababuza kiuchumi basi hataweza kuajiri wafanyakazi wengine katika Idara hiyo hiyo angalau hadi kipindi cha miezi 6 kipitie,lakini huwezi sema unapunguza wafanyakazi alafu kwa wakati huo huo unaajiri wafanyakazi wengine na huenda wakawa wanalipwa mshahara mkubwa au kama ule ule waliokuwa wanalipwa watangulizi wake.Mkuu hapo kwenye Retrenchment kama Boss Sababu zake za kukupunguza ni kuwa Uchumi umeyumba Ila kiuhalisia haiko hivyo Ila ni chuki zake tu binafsi (Personal Grudges) Sheria inasemaje kuhusu hili?
Maana anakupunguza then anaajiri mwingine,anapunguza mwingine then anaajiri tena mwingine and so and so kwa hili Sheria inasemaje hâta baada ya kujiridhisha kuwa Uchumi si sababu ya kufanya apunguze..
pole sana,ila ukiweza kuthibitisha hilo,unaondoka na kiasi kizuri tu cha kupunguza makali ya maishaNa ndo mchezo wao