RETURN OF THE MUSIC MESSIAH:haya masiala na utani kwa umma wa watanzania wapenda burudani!!

RETURN OF THE MUSIC MESSIAH:haya masiala na utani kwa umma wa watanzania wapenda burudani!!

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
namshukuru aliyelileta jukwaa na sote kupata nafasi ya kuelezea na kushare idea zetu,naanza hivyo kwa leo na amani iwe nanyi wote wanajamvi naanza kama ifuatavyo.CRAZY GK nimeanza kumjua kitambo sana akiwa kundi la east coast kiukweli mshkaji he knows what he do na legendary wa music coz yuko kwenye game ya music kwa kitambo kirefu naomba ifahamike kuwa namuheshimu CRAZY GK kama msanii mkubwa na mkongwe but RETURN OF THE MUSIC MESSIAH kiukweli GK kajipange upya brother la sivyo hizo ngoma utasikiliza mzungu wako chumbani!!!!!!!!
 
Imeniuma sana kwa gk kurudi kwa style hii. labda verse ya kwnza angechana kama alvyofnya verse ya pili
 
cjui nani kamshauri kale kawimbo mwe,hata kavideo kabaya
 
mbona thread imejaa UMWEMBECHAI NA TEMEKE MWISHO RAP STYLES MWISHO KUWAKILISHA tupe content usije hapa jamvini na mada za kiumbea karibu sana KIRAKA NDANI YA GEMU.
 
He doesn't have music talent.Before alikuwa anabebwa na kundi,na zile bifu na TMK ndio zilikuwa japo anatajwa jina.
Huo wimbo wake mpya nimesikiliza mara moja,na wala sikusubiri ufike mwisho, hovyo kabisa. Anatia huruma sana.
Na hii yote inatokana na sisi watanzania kulazimisha mambo hata hatuna uwezo nayo,kwasababu tu flani anafanya. Imefika wakati sasa,tuangalie vipaji vyetu na kuviendeleza kuliko kulazimisha fani sio zetu.
 
Kama mimi vile,nilisikiliza mara moja na haukuisha.wimbo mbaya
 
haya nitarejea lakini gk ana kigugumizi

Najua kuwa anakigugumiz bt its just not fair kwa wewe kumjudge kutokana na ground hizo.ingawa ni kweli kuwa huu wimbo kachemka bt cyo kwa sababu cyo ana kigugumiz
 
Shika adabu yako,umemkosoa Muumbaji.too far umeenda.

Mbona steve wonder haoni na anapiga kinanda!!! Kigugumizi chake hakimzuii kuimba vizuri, sema tu hajajipanga vizuri
 
Mbona steve wonder haoni na anapiga kinanda!!! Kigugumizi chake hakimzuii kuimba vizuri, sema tu hajajipanga vizuri

yes ni kweli kigugumiz sio sababu but kiukweli jamaa akajipange upya!
 
He doesn't have music talent.Before alikuwa anabebwa na kundi,na zile bifu na TMK ndio zilikuwa japo anatajwa jina.
Huo wimbo wake mpya nimesikiliza mara moja,na wala sikusubiri ufike mwisho, hovyo kabisa. Anatia huruma sana.
Na hii yote inatokana na sisi watanzania kulazimisha mambo hata hatuna uwezo nayo,kwasababu tu flani anafanya. Imefika wakati sasa,tuangalie vipaji vyetu na kuviendeleza kuliko kulazimisha fani sio zetu.
wana mpromo sana hao clous kifupi kila jambo nawakat
Wake naushapita ajipange tu
 
ngoma iko poa xema kwa wa2 wasiojua kuwa game ina change alafu mwanamuziki huwez kuwa na nyimbo za aina moja mazee alafu pia sio kila wimbo lazima ukubaliwe na wa2 wote! nyimbo ile haina tofauti kubwa na ngoma ya simba wa africa katika staili coz hata katika simba wa africa aliimba, namfatilia gk tangu zamani yupo talented xana yule jamaa, jaribu kufuatilia nyimbo zake ambazo ashawah fany utagundua. ni mtazamo2 tusijenge chuku!
 
watu mnadis coz ndo nyie mnaosema bora mngezaliwa mbwa america! ni baraka au laana?
 
Back
Top Bottom