Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Hebu fafanua vizuri basi acha papara lol
Imeniuma sana kwa gk kurudi kwa style hii. labda verse ya kwnza angechana kama alvyofnya verse ya pili
wapi ulioona mtu asiyejua kuongea kawaida akaimba?
He doesn't have music talent.Before alikuwa anabebwa na kundi,na zile bifu na TMK ndio zilikuwa japo anatajwa jina.
Huo wimbo wake mpya nimesikiliza mara moja,na wala sikusubiri ufike mwisho, hovyo kabisa. Anatia huruma sana.
Na hii yote inatokana na sisi watanzania kulazimisha mambo hata hatuna uwezo nayo,kwasababu tu flani anafanya. Imefika wakati sasa,tuangalie vipaji vyetu na kuviendeleza kuliko kulazimisha fani sio zetu.
haya nitarejea lakini gk ana kigugumiziShika adabu yako,umemkosoa Muumbaji.too far umeenda.
haya nitarejea lakini gk ana kigugumizi
Shika adabu yako,umemkosoa Muumbaji.too far umeenda.
Mbona steve wonder haoni na anapiga kinanda!!! Kigugumizi chake hakimzuii kuimba vizuri, sema tu hajajipanga vizuri
wana mpromo sana hao clous kifupi kila jambo nawakatHe doesn't have music talent.Before alikuwa anabebwa na kundi,na zile bifu na TMK ndio zilikuwa japo anatajwa jina.