RETURN OF THE MUSIC MESSIAH:haya masiala na utani kwa umma wa watanzania wapenda burudani!!

Uongo mmbaya , mm kiukweli huwa nakubali sana kaz za Gk kama Sauti ya manka, Simba wa africa, sister, ila jamaa kani let down na hili li song lake tuache unafk jamaa gemu anaweza lakn nahc alifanya kaz kwa pressure ya kuliteka soko once again, namshauri ajipange vzuri gemu la sasa limechange hasa ukzngatia unaweza toa hits kali lakn huyu virus clouds fm akizingua inakula kwako but jide amefanikiwa kuwapa lesson
 
GK anapashwa ajitahidi sana aisee, Gemu imebadilika sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
haya nitarejea lakini gk ana kigugumizi

Hana kigugumizi kwa kuwa kigugumizi huwezi kukidhibiti na ivyo pindi anapopafomu angeshindwa kugota sehemu zile zile alizogota wakata anarekodi nyimbo usika.
 
kwa wanaojua music huwezi kuponda music-muimbaji kisa ametoka kidogo kwa style yake ya zamani ,kuna vitu vingi kwenye music kwa waelewa wa music. Kimsingi mimi nimependezwa na mlio wa gitaa kwenye huu wimbo. Hata aliyeshirikishwa ameimba vyema (mpangilio wa sauti).

Wengi tunasikiliza miziki ya Kilengala ,kuna mtu atapenda mpangilio wa sauti za waimbaji wa Koffi Olomide ama werason nk,kuna mtu atapenda ngoma,mwingine video wanavyoheza na pia unaweza ukavutiwa na mwonwekano wa msanii. Ngoma za Kilengala wengu wetu maneno hatuelewi, so kutokana na mind ya binadamu inapotafsiri music tunapenda bila kuelewa maneno ama STYLE (Wapo wanaopenda maneno na style)

Hivyo kusema nyimbo ni mbaya bila kutoa sababu ili mtu ajikite kwenye kile anachokipenda sioni mantiki yake. Inawezwekana ukawe unapenda HIP HOP ukilinganisha na kwaito so nyimbo yoyote ya kwaito hutaikubali na wala si kosa kwani test /preference zinatofautiana kama nilivyoelezea hapo juu
 
Kwani we umechelewa wapi? GK hajui kuimba,kama shemeji yako mwambie fani ziko nyingi sio lazima wote tuwe waimbaji.

We unayejua kuimba una album au mixtape ngap sokoni? mwanamuziki anatakiwa aweze fanya styl yyte alafu sio lazima wimbo ukubaliwe na ww ndo uwe mzuri: refer verse ya AY kweny amazangu amazao
 
We unayejua kuimba una album au mixtape ngap sokoni? mwanamuziki anatakiwa aweze fanya styl yyte alafu sio lazima wimbo ukubaliwe na ww ndo uwe mzuri: refer verse ya AY kweny amazangu amazao

Mbona ueleweki,mara ungezaliwa mbwa Ulaya,mara hoo mixtape ngapi,sijui AY. Hapa issue ni kwamba, sio lazima wote tuwe waimbaji, shemeji yako GK ni talentless. Yaani hajui kuimba.
 
Hujakatazwa kumfagilia GK lakini wadau wa muziki wanasema ametokota, hivi wewe na hawa wadau wote wanaomkosoa ni wewe tu peke yako ndio unajuwa Muziki?

Anyway siwezi kukushangaa maana hata nyimbo ya majanga ina mashabiki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…