Reuben Singh Singasinga 'Ginimbi' kutoka India

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje!

Huyu singanga mwenye asili ya India haoni aibu kabisa kuanika utajiri wake kwenye social media.

Reuben Singh mwenye umri 44 ni Entrepreneur na CEO wa alldayPA and private equity firm Isher Capital. Alizaliwa 20 September 1976 Yorkshire Uingereza.

Anapenda sana kujionesha na Rolls Royce japokuwa anamagari mengine ya kifahari kama Bugatti Veyron thamani 1.7 m$.

@Cc Waziri wa Kaskazini
 
According to forbes ana utajiri wa dola million 200 wakati deni alilonalo kwenye kampuni ni $50 milion, so hawezi filisika mkuu na yeye bado kakomaa kuwa hizo habari hazina ukweli
 
Kwa hivyo sasa hv kazi yako ni kutuanzishia nyuzi sisi matajiri.....
 
Maisha hayo ya wenzetu kibongobongo haiwezekani labda utie pamba ktk masikio kabisa...ukoo mzima wenye watu elfu moja unakutegemea ww kudadeki hapo bado vipapai kwa majirani..safari n ndefu mda hautoshi
Sasa mimi ndio wataniua
Kwa hivyo sasa hv kazi yako ni kutuanzishia nyuzi sisi matajiri.....
Tulia wewee mgerasi Jikite kwenye mada iliyopo jamvini
 
Dan simuamini aisee

Baba yake nae ana mawe ili alikua mwizi mwizi kama mwanae....

Dan Im sure atapigwa jela miaka kadhaa....haya makesi hayamuachi kirahisi rahisi
Nilisom alivuta kama kama $30 milion dollars
 
Nani kamfilisi mkuu maana jamaa ni professional gambler, mimi uwa naona matusi yake kwenye page ya hyper luxury mkuu
Professional gambler ndo kitu gani?..unasomea wapi hii kitu?

Hakuna kamari professional
 
Ukianzisha uzi wa Ginimbi wa Tanzania unitag wewe mkaldayo

Halafu mkubwa hukutupa feedback ya ile US lottery uliyokuwa unacheza
 
Professional gambler ndo kitu gani?..unasomea wapi hii kitu?

Hakuna kamari professional
Professional gambler ana experience anajua jinsi ya kuweka stakes zake. Jamaa anakwambia leo anaweza poteza dollar milion 3 kesho akala milion 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…