Rev. Mtikila ashida kesi ya kuruhusu mgombea binafsi Mahakama ya Afrika

Kwa mujibu wa katiba yetu hairuhusu mgombea binafsi lazma uwe ndani ya chama fulan ndo maana hata ukirejea kesi ya Rev.mtikila V.DPP inathibitisha wazi kuwa Tanzania hatuna mgombea binafsi kwa mujibu wa katiba yetu
 
Mkuu ZZK, Zitto , pokea baadhi ya nondo, zipime, mkiona zina sifa, zijumuishe katika maazimio ya kikao chenu cha TCD, leo yanayokabidhiwa Kwa kile kikosi kazi, yatue mezani Kwa Mama, ili sheria zifanyiwe mabadiliko kabla ya uchaguzi wa 2025.

Waliosusa waacheni wasuse, maana kama awamu ya 5, la katiba lilikuwepo kwenye ilani ya CCM, na hatukumlazinisha JPM kubadili katiba, sasa la katiba halimo kwenye ilani ya Samia, hivyo kumshiza au kumlazimisha Samia kukamilisha mchakato wa katiba mpya ni kumuonea!. Tunaweza kubadili baadhi ya sheria kandamizi na kuvibadili baadhi ya vipengele kandamizi vya katiba iliyopo, kuwezesha uchaguzi wa 2025, kuwa ni uchaguzi huru na wa haki, halafu mchakato wa katiba mpya ukaendelea, Kwa nafasi baada ya 2025.

Paskali
 
Bahati mbaya hakuna chama, si CCM wala chochote cha upinzani kinataka habari za mgombea binafsi. Uhuni na unafiki.
 
Kwa wale msiojua, kile kilichonikuta kwenye lile jambo langu, kinatikana na ubatili huu niliuzungumza hapa!. Kuna uwezekana mtu una jambo lako unalitaka, unalipania sana la Mungu anakunyima, unalikosa, unakubali matokeo kwasababu waliochaguliwa wamekupita sifa, ila kuumia kulikosa jambo lako unakuwa umeumia!. Kumbe kuna uwezekano, majanga mengine sio majanga, ni mapito!. Unapitishwa kwenye mapito ya majanga huku unachapwa mijeledi, kumbe ni kwa kupigwa kwako, unapigwa ili wengine waponywe, hivyo majanga hayo yakawa ni a blessing in disguise!.

Mungu Nisaidie Niyaweze yote katika YEYE anitiaye nguvu!.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…