johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo ni orodha ya vinara wa Upinzani waliotikisa Nchini kuanzia 1992 hadi Leo
Wengi wakiwa wenyeviti wa vyama lakini Kafulila aka Tumbiri aliitikisa Escrow hadi Singasinga akatupwa Jela na Zitto Kabwe aliitikisa Buzwagi
Dkt. Slaa aliibua uozo mwingi wa Serikali alipokuwa Msaidizi wa Hamad Rashid Bungeni
Ukiangalia kwa makini huo mnyororo wa Thamani utagundua safari ya kisiasa ni lazima itamatikie CCM
Ndio najiuliza Tundu Lissu hahitaji mafao ya Kustaafu? 🐼
Ahsanteni sana 😄