Kweli kabisa, Mahakama ya Rufani haikusema kwamba appeal imekuwa "upheld" au "dismissed" isipokuwa imejifunga "pingu" yenyewe eti kwamba "suala hilo ni la kisiasa zaidi kuliko kisheria!"Nina maswali mengi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama ya rufaa juu ya rufaa ya serikali kwenye kesi ya mgombea binafsi;
1.Hukumu ina defects maana hakuna mahala kulipoonyesha appeal allowed au appeal dismissed?
2. Kama imeandikwa kwenye katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania kuwa kila mtu ana uhuru wa kuchaguliwa au kuchagua kiongozi ampendaye iweje hoja ya mgombea binafsi iitwe ya kisiasa?
Si lazima watumie maneno "rufani imekataliwa." Hukumu ilisema Mahakama hazina mamlaka ya kusikiliza kesi hii. Maana yake amuzi lolote la mahakama ya chini kuhusu kesi hii ni batili. Mwisho wa hadithi.Nina maswali mengi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama ya rufaa juu ya rufaa ya serikali kwenye kesi ya mgombea binafsi;
1.Hukumu ina defects maana hakuna mahala kulipoonyesha appeal allowed au appeal dismissed?
Kubadilisha Katiba si kazi ya mahakama, ni ya bunge, wanasiasa. Mahakama kazi yake kutafsiri katiba.2. Kama imeandikwa kwenye katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania kuwa kila mtu ana uhuru wa kuchaguliwa au kuchagua kiongozi ampendaye iweje hoja ya mgombea binafsi iitwe ya kisiasa?
Si lazima watumie maneno "rufani imekataliwa." Hukumu ilisema Mahakama hazina mamlaka ya kusikiliza kesi hii. Maana yake amuzi lolote la mahakama ya chini kuhusu kesi hii ni batili. Mwisho wa hadithi.
Kubadilisha Katiba si kazi ya mahakama, ni ya bunge, wanasiasa. Mahakama kazi yake kutafsiri katiba.
Hukumu haukusema hili ni swala la kisiasa kwa hiyo basi mwisho wa kesi. Hicho ndio kilichoripotiwa ovyo, lakini walieleza kinaga ubaga kuwa Katiba ndio imesema mgombea huru hakuna. Wakasema wao hawawezi kuibadilisha, japo wanapenda mgombea huru. Mtikila alishitaki kipengele cha Katiba si halali. Wakasema, wenye mabavu ya kutangua vipengele vya katiba ni wabunge. Hamuitaki waambieni.
Ni kweli kwamba Mahakama haina uwezo wa kubadili kifungu cha Katiba
Ni kweli kuwa mahakama haina uwezo wa kubadili ila ina uwezo wa kutoa directions ya nini kifanyike,hicho ndiyo kilichofanywa na mahakama kuu pale ipoipa bunge jukumu la kutunga sheria itakayowezesha uwepo wa independent candidate.Hiyo ndio tunaita Checks and Balance,mahakama kuu na busara zake zote imeshindwa kutoa solution ikaishia kuiita hoja ni ya kisiasa as per page 48 of the judgement.Ahsante sana.
Sasa tunavutana nini tena?
Ndio hicho walichosema, hawana mamlaka ya kubadili kifungu cha Katiba. Kwishne.
Ahsante tena.Ni kweli kuwa mahakama haina uwezo wa kubadili
Sisi kama wananchi tulitegemea mahakama itoe mwongozo wa nini kifanyike maana suala la independent candidate ni haki ya msingi ya kila mtanzania na sio suala la kisiasa kama mahakama ilivyodai.Unaporudisha mjadala kama huu bungeni ili warekebishe haijasaidia maana bunge linaongozwa na siasa za chama tawala,sasa matokeo yake ni kuwa siasa zitazuia utekelezaji wa haki ya msingi kwa watanzania.Ahsante tena.
Na hicho ndicho Mahakama ilichokisema, haina uwezo wa kubadili katiba.