Rev. Reinhard Bonnke: Kusanyiko kubwa la injili linalosisimua liambatanalo na uzushi mwingi

RingaRinga

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,047
Reaction score
521
Lile kusanyiko Kubwa la aina yake lililowahi kutokea nchini mwanzoni mwa utawala wa B.W. Mkapa June 1996 (miaka 20 iliyopita) leo lipo mjini Mwanza ambapo mwinjilisti wa kimataifa R. Bonnke atalitikisa jiji la miamba al maarufu Rock City kwa mahubiri yake ambayo huwavuta wengi.

Kusanyiko hili huvutia watu wengi wengine kutoka mikoa ya jirani ambapo pamoja na wengi kuja kushuhudia mahubiri wengine huvutiwa kushuhudia maandalizi makubwa ambayo hufanywa kufanikisha kutaniko hilo.

Matumizi ya teknolojia za kisasa na ghali ambazo huchukua muda wa kutosha kufungwa katika viwanja vya Furahisha, promo za kutosha kupitia vyombo vya habari na mapokezi makubwa ambayo hupewa mhubiri huyu naamini vitasababisha viwanja vya furahisha kutapika.
Mliokuwepo na kushuhudia mkutano wa 1996 mnakumbuka nini?
Mkutano huu utaacha gumzo kama la 1996 lililochukua muda kusahaulika?
Tuendelee kupeana updates za yale yanayoendelea hapo jijini na eneo la mkutano, picha mbalimbali zitanogesha zaidi habari hii.
Nipo nje ya jiji.

SAHIHISHO:
CfaN ambao ndio wasimamizi wa mahubiri haya wamemleta Daniel Kolenda na si Reinhard Bonnke
 
Hivi ni yeye mwenyewe R. Bonnke au mwanae? Coz kuna wakati walitangaza anakuja Bonnke mkoa wa Mbeya kumbe ni mwanae, hawa waandaaji sometime wanafanya usanii kuvuta watu
 
Fuatilia ukurasa wao wa fb utaelewa zaidi
 
Imani bila ELIMU ni kitu hatari sana sana...!! Like a bomb..!! IMANI bila ELIMU ni kujiundia bomb mwenyewe..!!
 
Siku hizi haji mwenyewe wanakuja wasaidizi wake! Fwatilia utaniambia, japo kikubwa ni huduma na injili
 
sio yeye ni DANIEL COLENDA mwanae, Hawa jamaa wanatangaza Bonke anakuja kumbe ni....................
 
Lile kusanyiko Kubwa la aina yake lililowahi kutokea nchini mwanzoni mwa utawala wa B.W. Mkapa June 1996 (miaka 20 iliyopita) leo lipo mjini Mwanza ambapo mwinjilisti wa kimataifa R. Bonnke atalitikisa jiji la miamba al maarufu Rock City kwa mahubiri yake ambayo huwavuta wengi.

Kusanyiko hili huvutia watu wengi wengine kutoka mikoa ya jirani ambapo pamoja na wengi kuja kushuhudia mahubiri wengine huvutiwa kushuhudia maandalizi makubwa ambayo hufanywa kufanikisha kutaniko hilo.

Matumizi ya teknolojia za kisasa na ghali ambazo huchukua muda wa kutosha kufungwa katika viwanja vya Furahisha, promo za kutosha kupitia vyombo vya habari na mapokezi makubwa ambayo hupewa mhubiri huyu naamini vitasababisha viwanja vya furahisha kutapika.
Mliokuwepo na kushuhudia mkutano wa 1996 mnakumbuka nini?
Mkutano huu utaacha gumzo kama la 1996 lililochukua muda kusahaulika?
Tuendelee kupeana updates za yale yanayoendelea hapo jijini na eneo la mkutano, picha mbalimbali zitanogesha zaidi habari hii.
Nipo nje ya jiji.

He is retired, Mkwe wake ndo kashika nafasi yake
 
Hivi ni yeye mwenyewe R. Bonnke au mwanae? Coz kuna wakati walitangaza anakuja Bonnke mkoa wa Mbeya kumbe ni mwanae, hawa waandaaji sometime wanafanya usanii kuvuta watu
Hiyo ni huduma.
Hata Rais anaweza akawa na mualiko mahala na akamtuma mwakilishi; lakini officially yatakayoongelewa na mwakilishi yanahesabika yametoka kwa Rais.
 
Ni kweli mkuu ila usifananishe huduma za kisiasa na kiroho ni vitu viwili tofauti hata uwakilishi wake unakuwa na mafunuo tofauti
 
Nilipata kusikia mahubiri yake kwenye kanda ya redio ,kuna ile sehemu ya jamaa na Chicken sikumbuki vizuri , wengi walisema ni muuza madawa ya kulevya
 
sidhani kama ni halali mtu wa Mungu kupata umaarufu kwa wingi watu badala ya alichokifanya. kumbukumbu yenye tija ni maneno aliyosema na matendo aliyofanya sio idadi ya watu. kama watu hata babu yetu samunge alitisha
 
Mkuu umekurupuka bila kuelewa kinachoendelea

Wewe umesema uko nje ya mkoa huo
Uzushi umeujuaje ?
Au wewe ndiye mzushi wa MANENO!!!
 
Nimewahi hudhuria mkutano wake Malawi mwaka 1985 uliokuwa na miujiza kibao.
nakumbuka mabango yalikuwa yameandika " IDZANI MUDZAONE ZOZIZWA ZA MPAMVU YA MULUNGU ZOCHITIKA MMOYO WANU"
 
Back
Top Bottom