Roho inauma sana unaposoma habari kama hii.
Je tunadhani Ngeleja ana ubavu wowote? Nilipata fununu kwamba alikuwa mwanasheria kipenzi wa RA na ndio aliemfinance kupta ubunge na offcourse kwa lengo la kupewa uwaziri.
Kama ni kweli bado tunazunguka mduara. (God forbid)
Cha kufanya ni kukusanya wananchi wenye kupenda nchi na SIASA ili wagombee nafasi, tuliobaki tuwaunge mkono kwa wingi wachukue nyadhifa muhimu.
Mbona Zimbabwe wanasogelea ukweli sasa?
Inawezekana, kwa madini haya, tutakuwa kama urusi siku moja.
hakuna mawazo mbadala mapya tunayoweza kuyatoa ndio maana tunabaki kulia kulia tu na ku vent na kudiscuss yatakayotokea in the near future ili angalau tujiandae kisaikolojia tusije geuka kuwa nchi ya vichaa...
... ushauri ni huu mmoja tu unaojulikana wazi kabisa kwa kila mtanzania, lakini haufuatwi na hatuna uwezo wa kulazimisha ufuatwe...!
- umbua hadharani mikataba yote isiyonufaisha mtanzania
- wataje na kuwa wajibisha kisheria wale wote walihusika ktk kusaini mikataba hiyo, iwe kwa kupewa rushwa au kwa ujinga
- pale inapowezekana futa au rekebisha mikataba ili imnufaishe mtanzania
au kuna jipya jingine lolote la kufanya jamani?![/QUOTE]
Yes! Use BULLETS!!