Elections 2010 Revealed: Timu ya Kuchakachua Matokeo ya Nec ni Hii? (CLOSED: Ushahidi unahitajika)

Status
Not open for further replies.

Kama unaogopa varangati bora uhame nchi, tumejipanga kubanana kweli kweli, Wizi wa madini yetu fake contract, mwisho Oct, 31. Kama hujui ung'ang'ari, kaangalie wazee wa Africa mashariki.
 
wale vijana wa IT ni kweli walifanikiwa ku-access remotely database server kwani walipata public ip-address ambayo ni 80.74.107.38 lakini tumefanikiwa kuzuia hilo lisienedelee hapo jana na sasa hawaweze kufika kule kwenye server

Wa 16, hilo ni kosa la Jinai sasa mmechukua hatua gani dhidi yao?
 
Nafikiri mkuu,kichwa yako imepata moto......... we nenda tarehe 31 October katie kura yako......... ondoa dukuduku lako kwa kumpa kura mgombea unayempenda,halafu ngojea watanzania wengine wafanye zoezi hilo kwa utashi wao...... Wengi wape ndiyo motto ya uchaguzi...... Hivyo subiri matokeo yatangazwe kwa amani......nawe shangilia au ulie kwa amani !............. Mikwara mbuzi hailipi hapa Tanzania!!!!!!!!!!
 
wale vijana wa IT ni kweli walifanikiwa ku-access remotely database server kwani walipata public ip-address ambayo ni 80.74.107.38 lakini tumefanikiwa kuzuia hilo lisienedelee hapo jana na sasa hawaweze kufika kule kwenye server

lakini si lazimwa watakuwa wamefanya mchezo mchafu kama vile kuomgeza majina na idadi ya watu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…