Revealed: Watoto wa 'vigogo' waliotimuliwa TANROADS, Majina haya hapa...!

Labda wanaficha majina yao harisi, Magufuli kachemka. Kwanza angesema sifa za kufanya kazi mizani, then angewataja hao waliokosa sifa na sio vigogo tuu. Au ajiulize
Mbona Salma Kikwete hana sifa lakini kapita bila kupingwa?
We sasa unalako jambo,mm Salma wa nini huku?Hujasoma somo la uraia?Kwa taarifa yako,ana sifa za kutosha
 
mimi simuamin hata kiongozi mmoja hapa tz kwa sababu hv hao wafanyakaz walijiajiri au waliajiriwa? Na kama waliajiriwa walipewa kaz na nan?na huyo alietoa kaz anachukuliwa hatua gan?
 
Inawezekana waliotimuliwa kazi ni watoto wa vigogo ila wengine wanaweza wasifahamike kwa sababu vyeti walivyotumia kuingilia kazini si vya kwao!
 

Kimsingi, mleta uzi hajasema hao ni watoto wa vigogo. Katika heading yake katumia quotes 'vigogo' na katika maelezo yake kasema si watoto wa vigogo!!!
 
labda magufuli alivosema watoto wa vigogo labda alimaanisha ni watoto wa katibu kata, mkurugenzi wa halmashauri ya huko vijijini pwani au mwenyekiti wa nyumba kumi kumi

Ishi!!!! Kumbe ulikuwa hujui kwamba kupata kazi TANROADS ni vigumu mpaka ufanyiwe mpango na mtu mkubwa serikalini? Ndo maana Magufuli anasema ni watoto wa vigogo maana anaamini hawakupata kazi bila msaada wa vigogo!!!!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…