Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Leta update, leo ni tar 7
 
Jamaa umeweka hapa ili tukusifie au tukuponde? au unataka kutufundisha tabia gani za ajabu namna hii? kumbuka huwezi kumpata mtu perfect 100%
Naandika hivi nina hasira kuna jamaa kaua ndugu zangu wawili (mtu na dada ake) na mtoto wao mchanga kisa tu alivorudi kutoka kwenye safari zake akahis mtoto si wake,akaamua kumkomesha ndugu yang (mkewe) na shemeji yake(alienda kumsaidia wakati wa kujifungua,na kitoto kichanga ,kwa kuwakata mapanga utosini OMG,
Tabia za kulipiza visasi si nzuri,zitakufikisha pabaya na utaja kuishi maisha ya ajabu sana,
muoshwa uoshwa,muoshe huyo dada ila ipo siku utaoshwa here on Earth,na hutakufa until umeshuhudia hayo malipizo yako.
 
Mwambie mkuu karma is a cruel feedback
 
Tuwe wavumilivu, nipo eneo la tukio nitakua naleta updates!!

>>Jamaa tumeambiwa ndio wapo njiani wanakuja yeye na ndugu zake!!
 

Poleni sana sana.

Huyo muuaji ameshapatikana? Habari hii tangu niisome na kuona na picha zao imenisikitisha sana na kushindwa kuelewa why jamaa huyo alitenda hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…