Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Poleni sana sana.

Huyo muuaji ameshapatikana? Habari hii tangu niisome na kuona na picha zao imenisikitisha sana na kushindwa kuelewa why jamaa huyo alitenda hayo.
Hajapatikana, huyo jamaa wa musoma huko. It real pains
 
Hajapatikana, huyo jamaa wa musoma huko. It real pains

Mungu atamjibu na naamini hata ishi kuwa na furaha na majuto hata yakimjia ndio hawezi badili kuwarudishia uhai tena.

Mmeshawazika?
 
Samahan wadau naomba mnielekeze jins ya kusubcribe, maana nataka nisipitwe.
 
Mnyooshe tu, hakuna ushauri zaidi ya huo
 
Mastori ya kutunga tu...hakuna kitu kama hicho
 
Nimeisikia, si yule mhasibu wa rufaa mbeya, Ila nasikia alikua na matatizo ya kushindwa kuzaa
 
Huyu jamaa KOROE Pungu kabisa, nyepesi nyepesi inasemekana saizi anahemea mipira huko ICU....."kama huwezi kumwacha, usimchunguze"
 
Ningeshangaaa sana km ungekuja hapa kuomba ushauri nn ufanye piga chin pita hvy ndio uanaume wnyw huo
 
Tupo tunasherekea huku kijana aliahirisha Ku revenge baada ya kupewa side B aloahidiwa Jamaa.
Mtasubiri sn
 
Hahahaha mkuu Koroe kaamua kuvalisha pete kabisa....Maana washamsikilizisha wimbo wa Rich Mavoko 'kuchapiwa ni siri ya ndani' ukijumlisha na misemo ya kihenga aaaah chaliiii, kawa mdogo kama piriton....Sasa hiv yupo kwenye harakat za kuvunja mzimu wa 0715 unaomuandama shemela
 
Nimeisikia, si yule mhasibu wa rufaa mbeya, Ila nasikia alikua na matatizo ya kushindwa kuzaa
Yaah
Ni kweli
Lkn kila mtu haki ya kuishi hapa duniani
Regardless ya mapungufu yetu.
Tutamkamata tu tuichome nyama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…