Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Mkuu hiii nyuzi ni yamudaa sana,sasa mpk leo hujaumizaa MTU? Tunaombaa mrejeshoo maana umesema hutaki ushaur
 
finally there is lesson from this thread,people surrounding us always are more happy to see bad things happen in our life,take care with homo sapiens!
 
Mbona kimya, revenge ime''backfire'' nini
 
Jamaa kakimbia ukute nae kaonjeshwa mtandao pendwa hahaha.
Kula maisha bro achana na revenge.
 
Mtoa mada kweli umejua kuçheza na subira za watu, I salute
 
Pole sana kaka, hawa wanawake hata vitabu vya dini vilishasema ya kwamba, tunatakiwa kuishi nao kwa uangalifu wa hali ya juu
 
Zimebaki dakika chache siku iishe,
Hakuna mrejesho au umekubali yaishe,
Kujiamini sana usikute usimamishi dushe,
Umeanza vizuri mwisho hatuuoni,
Ulituhaidi tar 7 part two janvini,
Lakini ndo hivyo tar 7 ukingoni,
Masikini sijui umepatwa na nini,
Kila la heri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…