Gari yako manual au automatic.!?Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio.
Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.
Gari yako manual au automatic.!?
Gari lako no rav4 kilitime?Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio.
Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.
mkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema kawaida, nikapeleka gereji ingine nikambiwa tujadili gearbox fluid, tukafanya hivo but hakuna mafanikio.
Naomba ushauri kutoka kwa watalaam au wazoefu.
Huu ndo ushauri wa kifundi. Nice Mr. Legemkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.
ila kama utakuwa vizuri nunua gearbox nyingine tuu maana bei yake ni kama laki 3 hivi
Ahsante mkuu, ngoja nitafute inginemkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.
ila kama utakuwa vizuri nunua gearbox nyingine tuu maana bei yake ni kama laki 3 hivi
Fanya uchunguzi utajuaKuna gari manual yenye gia D-Drive
Fanya uchunguzi utajua
mkuu hapo shida ni gear box ndani lakini ugonjwa huo unatibika vizuri tuu.usitishwe sana .hapo clutch za revers zitakuwa zimeanza kuchoka.au huwa kuna kuwa na seal huwa zinakauka na kupitisha pressure ya hydrolic.
ila kama utakuwa vizuri nunua gearbox nyingine tuu maana bei yake ni kama laki 3 hivi
zi gani mkuu wakati mambo yapo wazi kabisaa ? au ww ndio huelewi ni i kinazungumzwa au unaongelea gari automatic huwa inakuwa na option ya kuendesha manually ndio unayozungumzia?Fanya uchunguzi utajua
Manual yenye gear D-Drive?Hyo ni auto au mannual?