Nicky nicky
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 106
- 9
Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda pia TIA MWANZA -uliza Matola/kimario nk. watakusaidia ikiwemo preliminary process ya kulipia.Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
Nenda pia TIA MWANZA -uliza Matola/kimario nk. watakusaidia ikiwemo preliminary process ya kulipia.
Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
Nenda cbe darasa la post graduate jion utawakuta wenzako. Lakn pia ningependa kujua unafanya stage gan coz nam nafanya stage 3 nimekosa mshiriki.