Mwamanda Senior Member Joined Feb 24, 2009 Posts 150 Reaction score 49 Jun 12, 2014 #1 Poleni na Majukukumu , nahitaji review questions na answers kwa MBA kwa masomo ya marketing,decision making na Financial Management.Kwa yeyote aliyonayo naomba tuwasiliane.
Poleni na Majukukumu , nahitaji review questions na answers kwa MBA kwa masomo ya marketing,decision making na Financial Management.Kwa yeyote aliyonayo naomba tuwasiliane.
kijumbamshale JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 267 Reaction score 87 Jun 12, 2014 #2 Kweli kizazi cha Nyambari nyangwine. Soma vitabu majibu yako humo
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jun 13, 2014 #3 kijumbamshale said: Kweli kizazi cha Nyambari nyangwine. Soma vitabu majibu yako humo Click to expand... Mwendo wa kukalili..ndo elimu yetu
kijumbamshale said: Kweli kizazi cha Nyambari nyangwine. Soma vitabu majibu yako humo Click to expand... Mwendo wa kukalili..ndo elimu yetu
muuza ubuyu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 3,539 Reaction score 3,551 Jun 13, 2014 #4 Hahahahaaaaa, siku hizi watu wanasoma kufaulu mtihani tu hakuna zaidi ya hapo! Watu walisha acha kusoma vitabu! kijumbamshale said: Kweli kizazi cha Nyambari nyangwine. Soma vitabu majibu yako humo Click to expand... Danp36 said: Mwendo wa kukalili..ndo elimu yetu Click to expand...
Hahahahaaaaa, siku hizi watu wanasoma kufaulu mtihani tu hakuna zaidi ya hapo! Watu walisha acha kusoma vitabu! kijumbamshale said: Kweli kizazi cha Nyambari nyangwine. Soma vitabu majibu yako humo Click to expand... Danp36 said: Mwendo wa kukalili..ndo elimu yetu Click to expand...