Kwani hizi gari mnazonunua huko kwenye mayard unafikiri ni za mwaka gani? Nyingi ni 2005 kwenda chini. Tulipaswa kujiuliza wenzetu wanatunzaje magari? Gari ya mwaka 2000 sisi tuziita mpya.Gari ya mwaka 2004 unaulizia kuhusu ubora wake? I mean hiyo gari ina miaka 15 sasa iweje iwe bora? Hapo kila kitu kimeshakwisha tayari.
Kumbe hujui hata kidogo mambo ya magari ukiona gari ya 2004 hiyo bado ni mpya kwa hapa kwetu hata hizo unazoziona barabarani ni za miaka hiyo.....Gari ya mwaka 2004 unaulizia kuhusu ubora wake? I mean hiyo gari ina miaka 15 sasa iweje iwe bora? Hapo kila kitu kimeshakwisha tayari.
Gari ya mwaka 2004 unaulizia kuhusu ubora wake? I mean hiyo gari ina miaka 15 sasa iweje iwe bora? Hapo kila kitu kimeshakwisha tayari.
Unaongelea hapo 2004 majuzi tu hapo,watu wanaendesha Vintage cars za 1960'a huko na yako fresh tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unachanganya mambo, mleta Mada hajauliza kuhusu old timers, bali ameulizia Magari ya kawaida, na gari yenye umri wa 15 huwezi uliza ubora wake kwani kila kitu kwa kawaida kimeshakwisha.