Rex solar energy interview conducted on 7 september 2012

Status
Not open for further replies.
Joined
Oct 12, 2010
Posts
70
Reaction score
7
Ebwana anayefahamu most of the question yanayoulizwa na hawa jamaa rex solaar enegy anijuze tafadhali.

Thanks for ur time and consideration
 
Ebwana anayefahamu most of the question yanayoulizwa na hawa jamaa rex solaar enegy anijuze tafadhali.

Thanks for ur time and consideration

Duuuuuh ndo mshaitwa jaman?wengine cv zetu ziliachwa kwny box adres ama vp?kila la heri ww uliyebahatika
 
Tafuta profile yao ili uwe na basic informations za hiyo taasisi, pamoja na mambo ya kazi unayoomba. Kila la heri.
 
Tafuta profile yao ili uwe na basic informations za hiyo taasisi, pamoja na mambo ya kazi unayoomba. Kila la heri.

Huu mfumo wa kitambo sana, modern hua ni kupiga story just to knw how u can interact hasa baada ya kuona vyeti vyako. Maswali ya kawaida na hua nikatikati ya magungumzo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…