K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Jun 28, 2021 #1 Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!!
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Jun 28, 2021 #2 Wanapoteaga hivyo hivyo haoo... Bado waki ki analogia sana.
K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Jul 2, 2021 Thread starter #3 RFA kuna tatizo gani jamani? Tumewamisi sana Mbeya!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 2, 2021 #4 Poleni
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,634 Reaction score 7,015 Jul 2, 2021 #5 Hata hapa Shinyanga hawapo hewani muda kama huo kissa anyigulile said: Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!! Click to expand...
Hata hapa Shinyanga hawapo hewani muda kama huo kissa anyigulile said: Wakazi wa Mbeya tunaomba kujuzwa, kulikoni RFA, hawako hewani karibia wiki sasa!! Click to expand...
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,634 Reaction score 7,015 Jul 2, 2021 #6 Tatizo hawajali wateja. Bahati mbaya redio nyingi zina vitu vinavyokera tu kama vile miziki ya ngonofleva. kissa anyigulile said: RFA kuna tatizo gani jamani? Tumewamisi sana Mbeya! Click to expand...
Tatizo hawajali wateja. Bahati mbaya redio nyingi zina vitu vinavyokera tu kama vile miziki ya ngonofleva. kissa anyigulile said: RFA kuna tatizo gani jamani? Tumewamisi sana Mbeya! Click to expand...