Tetesi: RFID vs 666 ?

Joined
Oct 14, 2015
Posts
87
Reaction score
18
Mambo vip wadau w JF. Kuna hivi vitu viwili hii RFID na hii mamba 666, hii RFID inasemekana huwa ina ekwa ktk mwili wa binadam eti then anakuwa anaweza aka nunua bidhaa kupitia hii RFID, alaf pia hii RFID inasemekana eti ni ndio namba 666 ambayo katika Bible ni namba ya mpinga Kristo. Jmani mwenye kufahamu vizuri hivyo vitu viwili naomba anifafanulie. Ahsante.
 
RFID has nothing to do with 666 ,those who observe the Bible with flesh approach have always misinterpreted the Bible. The Bible is itself a dictionary, to know this number look in the bible itself. Number 6 simply means man living in sin, those who study the bible without theological intellectual guidance we know that 666 has been in peoples foreheads and right hand, that RFID is portrayed so as to help people in their everyday endeavor while we know that it is prompted so as the ELITE to control the world

The world is in the Dark, but not the whole will sleep.

" The life we live is a moment living dream, but death reveals an eternal living reality". So don't strive to own the world, you will be surprised when you work up.
 
mbona bado hujanijibu mkuu!!? (nilikuwa naitaji kujua RFID ni nini? na inamahusiano gani na na 666)
 
Ni radio frequencies to identify anything with it, including human beings implanted under their skins.
 
RFID=radio frequency id
Na 666 ni alama na nembo ya mpinga kristo wengne wanamwita masihi dajjal huyu anatarajiwa kufika mda wowote ktk vizazi hivi vinavoandaliwa kumpokea na ili afike lazima kila aina ya ubaya uhalalishwe mfano ndoa za jinsia moja,mauaji,nk
 
Vitu vyote vinavotumia mawimbi ya umeme vinapitia Kwene super computer iliyoko merryland huko USA iliokua na code#ya 666 na hivo vifaa vyote mfano atm card na radio nk vyote lazima viwe na chip ambayo serial [HASHTAG]#yake[/HASHTAG] iwe tiar instored na ili iweze kusomwa na hii supercomputer lazima tu iwe na 666 hata ule mpango wa obamacare wa afya za wamarekani ulihusisha kuwekewa chip ili wakifika hospitali chip kwa kutumia mfumo wa computer uweze kusoma tatizo lipo wapi
 
Kwa wale wabishi na wanaotaka kuelewa zaidi wasome ufunuo 13:1-18 kisha tukutane [HASHTAG]#sittaplus[/HASHTAG]gmail.com
Hii ni kwa mwenye Nia tu ya kutaka kujua utimilifu Wa unabii kuhusu Siku za mwisho pia nakaribisha maswali yote kuhusu unabii Wa Siku za mwisho na pia kuhusu mtandao unaotawala sayari hii kwa kutumia akili nyingi mno ili Kubaini na ww lazima jasho likutoke bila hivo utaishia kusema ni kukua na kupanuka kwa elimu ya sayansi na teknolojia tu hutajua kilicho nyuma ya pazia kwa maana hakuna kazi ya ibisi isyopendwa na wanadamu na kuwavutia zote ni nzuri sana kwakua shetani ni baba Wa uongo na hivo hutumia ukweli Wa 99% na uongo Wa 1% tu ndo maana nasema mpaka ubaini uongo huu lazima usote kweli
So,kwa maswalo yote Tumia email Hyo hapo juu tupo kwaajiri ya kueleweshana tutakujibu kutokana na ulivouliza.
 
[emoji106]
 
Anazaliwa au anashuka mkuu, ni binadamu wa kwaida au yuko vp plz
 
Huyu mpinga kristo ni binadamu wa Kawaida au ni roho mkuu
 
Mpinga-Kristo ni Nani?
Jibu la Biblia
Mpinga-Kristo si mtu mmoja au shirika moja tu, kwa sababu Biblia inasema kwamba kuna “wapinga-Kristo wengi.” (1 Yohana 2:18) Neno “mpinga-Kristo,” linalotokana na neno ya Kigiriki linalomaanisha “dhidi ya (au badala ya) Kristo,” linafafanua mtu yeyote anayefanya mambo yafuatayo:

Mbali na kusema tu kwamba watu mmoja-mmoja wanaotenda mambo hayo ni wapinga-Kristo, Biblia huwarejelea pia kwa ujumla kuwa yule “mpinga-Kristo.” (2 Yohana 7) Mpinga-Kristo alionekana kwa mara ya kwanza wakati wa mitume naye bado anatenda. Unabii wa Biblia ulitabiri kuhusu jambo hilo.—1 Yohana 4:3.

Jinsi ya kuwatambua wapinga-Kristo
  • Wanaeneza mawazo ya uwongo kumhusu Yesu. (Mathayo 24:9, 11) Kwa mfano, wale wanaofundisha Utatu au wanaosema kwamba Yesu ndiye Mungu Mweza-Yote wanapinga mafundisho ya Yesu, kwa sababu alisema hivi: “Baba ni mkuu kuliko mimi.”—Yohana 14:28.

  • Wapinga-Kristo hawakubaliani na kile Yesu alisema kuhusu utendaji wa Ufalme wa Mungu. Kwa mfano, viongozi fulani wa kidini husema kwamba Kristo anatenda kupitia kwa serikali za kibinadamu. Hata hivyo, fundisho hilo linapingana na alichosema Yesu kwamba: “Ufalme wangu si sehemu ya ulimwengu huu.”—Yohana 18:36.

  • Wanasema kwamba Yesu ni Bwana wao, lakini hawatii amri zake, kutia ndani amri ya kuhubiri habari njema ya Ufalme.—Mathayo 28:19, 20; Luka 6:46; Matendo 10:42.
Cheki na hizi link;

https://www.jw.org/sw/machapisho/ma...g/sw/mafundisho-biblia/maswali/mpinga-kristo/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…