RIA inayotoa huduma ya kusafirisha fedha

RIA inayotoa huduma ya kusafirisha fedha

lowale

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
209
Reaction score
108
60b5fd2b-0f02-4447-bc6e-a95db5dd247f.jpg

Ninaomba kujua hii ofisi ipo wapi kwa moshi kwa anaejua anisaidie please nimeitafuta sana physically sijampata
 
Huduma zao zinatolewa ndani ya mabenki, inabidi ujue ni bank gani ipo kwenye hiyo location.
 
Asante sana baada ya kuitafuta ofisi toka alhamisi last week nilijaribu kupiga hizo simu namba zimewekwa hapo hazipokelewi leo nimeamua kujiongeza nikatumia google map ikaniongoza hadi CRDB
[emoji2][emoji2][emoji2305][emoji40]
Na kule ndani nimekuta bango RIA
 
Back
Top Bottom