Riadha: Suleiman Nyambui apata tuzo huko Marekani

Riadha: Suleiman Nyambui apata tuzo huko Marekani

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Kocha wa Timu ya Taifa ya Riadha na Mwanariadha Mkongwe, Kocha Suleiman Nyambui, apokea Tuzo au zawadi ya "Hall of Fame" kwa kufanya vizuri katika enzi zake akikimbia kwenye Mashindano Mbalimbali ya Vyuo Vikuu huko nchini Marekani , UTEP TX , National Collegiate Athletics Association (NCAA).

Nyambui na Tuzo.
 
Back
Top Bottom