Riba za benk za kibiasbara zisizidi asilimia 5

Huko sasa ndio kuchanganya madawa, Magufuli na mada yako ya bank interest wapi wapi.

Halafu kwenye maisha kuwa adoptive na mazingira yakibadilika na wewe badilika. Magufuli alikuwa bold, akili kubwa, mzalendo na bila ya aina ya uongozi wa aina yake sio Tanzania tu, Africa maendeleo ya haraka tusahau.

Huko kwenye riba wacha nikuache maana unaelezwa jinsi bank inavyofanya biashara, wewe umekazana. Kuna mdau amekuomba utoe maelezo hilo zoezi linawezekana vipi ujamjibu unakimbilia hadithi ża Magufuli.

Ni hivi kuna mambo mengi na target ya muda mrefu serikali kushinikiza bank kushusha riba ila sio kwa kukurupuka, kwa sababu utatengeneza, bank-run, social contagion, bank panic, insolvency in banking na eventual financial crisis.

Let’s just say hayo mambo unayoyaongelea yapo juu uelewa wako kwenye maswala ya financial system.

Sasa sisemi banking ya Tanzania iendelee hivi, kwa kuanzia bank inatakiwa ishushe riba za savings taratibu (sio kukurupuka) na kuongeza mikopo ya biashara, kupunguza shughuli za pay day lending too (hiyo ni story ndefu kuelezea kwa sababu inataka kuendena na sera za uchumi na mipango ya nchi). Hao viongozi wenyewe wa kuleta mabadiliko hayo wako wapi ukiwasikiliza na kupima uwezo wao hawa waliopo.
 
Mm mtu yyte akielezea jambo kwa usomi wake namkubali hongera kiongozibumetendea haki elimu waache wanaotaka kushindana hawana facts ss humu tunapita kujielimisha
 
Hahaha Islamic Republicof Tanzani kumetokea nini DP World wameanza kumwaga mpunga au unaongea tu?

Riba ipungue halafu, SSH atatoa wapi Maokoto, Goli la mama litapotea, nasikia ndio maana Simba hawakutokea uwanjani?
 
Nimetolea mfano wa scenario mbili tofauti
Endelea kuishi kwa kukariri na fahamu afrika haiwezi ondoka kwenye umaskini kama tukiendelea kuamini kila jambo ni gumu na haliwezekani kama wewe unavyoamini

Na hakuna sehemu niliposema haya mambo yafanyike kwa haraka changamoto yako unaongeza mambo yako ambayo nikikuambia uonyeshe nilipoandika kwenye uzi wangu hutaweza
 
Shuguli ya kuendesha nchi sio ya wanasiasa ni civil servants na kwa Tanzania ni very weak.

Huko kwenye msingi wa mada yako huna hata elementary knowledge, kwa hivyo achana na hiyo hoja au walau kulazimisha watu wakupe maelezo ambayo wamejaribu kuyaweka kwa lugha rahisi inavyowezekana ili uelewe, lakini bado tu.

Sasa kama bado somo gumu tu kwako, hiyo ni adhabu kwa watu waliojaribu kukuelewesha kurudia mambo yale yale, michosho.

👋
 
Huna hata elementary knowledge

Hio knowledgea au akili zako imeisaidia nini nchi ilihali ni maskin tokea ipate uhuru

Wewe unakipi cha maana ambacho umekifanyia nchini hata vizazi vijavyo vikija vitakukumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…