Riba za mabenki zimepanda mno; Serikali iingilie kati kwenye hili

Black Legend

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
174
Reaction score
301
Kwa kipindi cha miakaa miwili hii, mabenki ya nchini Tanzania kama CRDB, NMB, DTB, NBC, AZANIA BANK nk yamepandisha riba za mikopo kwa kiwango kikubwa.

Hii imekuwa ni maumivu makiuubwa saana kwa watumishio wa serikali na wa sekta binafsi na hata wafanyabiashara wanapoenda kwenye benki husika kuomba mikopo.

Hii imesababisha uwezo wa wanachi kukopa kuwa mdogo hivyho kuchangia kipato cha mtu mmoja mmoja nchini kushuka na hata ile nguvu ya kununua bidhaa (purchasing power) kuwa chini.

Obviously, we cant have the country which the normal citizens always compromised with bad economical situations of these financial institutions. Yet, in 3 years , most of the banks.
 
Kwani mabenki huwa yanajipandishia riba kiholela bila regulator wao BoT kutoa maelekezo?

Kwa mara ya mwisho BoT walisema wanayakopesha mabenki kwa 9-12% ili mabenki yatoe mikopo kwa riba ya 13-16% halafu kausha damu watoe mikopo kwa 17-23% .

Sasa mleta mada hizo riba mpya za mabenki ni kiasi gani?
 
Umewahi kwenda bank kukopa? Nakuuliza hivi sababh riba sio kitu fixed Kama ulivyoandika, riba inategemea na muda wa mkopo
 
Kwani mabenki huwa yanajipandishia riba kiholela bila regulator wao BoT kutoa maelekezo?

Kwa mara ya mwisho BoT walisema wanayakopesha mabenki kwa 9-12% ili mabenki yatoe mikopo kwa riba ya 13-16% halafu kausha damu watoe mikopo kwa 17-23% .

Sasa mleta mada hizo riba mpya za mabenki ni kiasi gani?
Kitaalam zinatambulika kama Deposit taking banks (Quire 1) ambazo ni commercial banks like crdb, nmb etc na Non deposit taking micro finances (Quire 2) na sio kausha damu.

Kausha damu wanakupiga hadi 50% interest rate hadi 100%.

I just wanted to share such minor knowledge.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Riba siofixed kivipi mkuu? Riba ni fixed isipokuwa kiasi cha kurejesha ndicho kinategemea muda wa mkopo.
Kiwango cha kurejesha kinakua calculated kutoka kwenye nini? Mfano mkopo miaka miwili natakiwa kurejesha laki 3 kila mwezi Ila mkopo wa miaka 7 natakiwa kurejesha laki 4 kila mwezi. Hii kuongezeka inakua calculated kutoka kwenye nini? Huenda sijui naomba elimu nijue
 
Habari mbaya kwa Lucas mwashambwa anapenda sana watekaji na kutekana...
 
Kiwango cha kurejesha kinakua calculated kutoka kwenye nini? Mfano mkopo miaka miwili natakiwa kurejesha laki 3 kila mwezi Ila mkopo wa miaka 7 natakiwa kurejesha laki 4 kila mwezi. Hii kuongezeka inakua calculated kutoka kwenye nini? Huenda sijui naomba elimu nijue
Rejea hesabu za benki ulizosoma darasa la saba.
 
Hii ni sehemu pia ya kupeana elimu. Sio mm tu huenda Kuna wengine hawajui ambao wanaweza kujua kupitia wewe.

Au ngoja nikuulize hivi; nikikopa milion 10 kwa miaka mitatu, na atayekopa milioni 10 kwa miaka 7, wote tutakua na interest rate sawa??
 
Ni kazi ya serikali kurekebisha uchumi wa nchi. Iwapo BOT inakopesha kwa 9% , au zaidi ya hapo mpaka 12% binafsi nilitarajia mikopo ya watumishi iwe 9%. Mkopo wa mtumishi 16% ni kuendekeza Rushwa na unyonyaji kwa watu wako. Inaongeza upandaji being za vitu isivyo lazima!

Unabaki kushangaa benki kama TCB, hii inabeba agenda ya serikali, kwanini riba zake ziwe kama CRDB. Nilitarajia TCB na NMB ambazo serikali inaubia nazo, zibebe agenda ya serikali. Hata nyinginezo zikiamua kuchukua maamzi ya kudestabilise economic policies, mfano seikali ikisema riba ni 9%, hizi zinakuwa kama mdhibiti wa nyinginezo zinazokaidi. Wateja wa NMB, TCB ni wengi kuliko wa CRDB, wateja wakihamia kuchukua mikopo kwa hizo, lazima CRDB na nyinginezo zifuate tu!

Maamzi sahihi ni muhimu kama kununua ndege, miradi ya SGR ilivyoamuriwa kufanywa licha ya mapingamizi kibao wakati ule. Faida zake tunaziona sasa. Serikali ipunguze riba, watu wakope wapunguze umaskini.
 
Deep analysis ya mada, hakika serikali Ina WAJIBU mkubwa katika kutazama aspect hii ya mikopo. Riba za mabenki zimekuwa kubwa hivyo kuzalisha makampuni hewa ya kutoa mikopo ambayo nayo yananufaika na uholela huu wa kuwa na riba kubwa kwenye mabenki nchini. Waziri mwenye dhamana katika eneo hili MWIGULU NCHEMBA anawajibika katika kuja na njia sahihi ya kushughurikia suala hili hatarishi kwa mustakabari wa ustawi wa wananchi kiuchumi.
 
Hii ni sehemu pia ya kupeana elimu. Sio mm tu huenda Kuna wengine hawajui ambao wanaweza kujua kupitia wewe.

Au ngoja nikuulize hivi; nikikopa milion 10 kwa miaka mitatu, na atayekopa milioni 10 kwa miaka 7, wote tutakua na interest rate sawa??
Interest zinaweza kuwa sawa ila marejesho kwa mwezi kwa aliyekopa kwa muda mfupi yatakuwa makubwa na kwa aliyekopa kwa muda mrefu marejesho kwa mwezi yatakuwa madogo mkuu.
 
Kwa kipindi cha miakaa miwili hii, mabenki ya nchini Tanzania kama CRDB, NMB, DTB, NBC, AZANIA BANK nk yamepandisha riba za mikopo kwa kiwango kikubwa.

Hii imekuwa ni maumivu makiuubwa saana kwa watumishio wa serikali na wa sekta binafsi na hata wafanyabiashara wanapoenda kwenye benki husika kuomba mikopo.

Hii imesababisha uwezo wa wanachi kukopa kuwa mdogo hivyho kuchangia kipato cha mtu mmoja mmoja nchini kushuka na hata ile nguvu ya kununua bidhaa (purchasing power) kuwa chini.

Obviously, we cant have the country which the normal citizens always compromised with bad economical situations of these financial institutions. Yet, in 3 years , most of the banks.
Siku hizi karibu kila transaction ya kidigitali inalipiwa. Maendeleo hayana chama na wenyewe ndio sisi. Lazima lile tamasha letu lifane. haliwezi kufana bila hela, na hela itatoka wapi sasa? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Riba siofixed kivipi mkuu? Riba ni fixed isipokuwa kiasi cha kurejesha ndicho kinategemea muda wa mkopo.
Halafu ukitoka hapo, unaenda kule kwenye siasa unamtukana kweli Magufuli kaaribu uchumi.

Unafahamu commitment za banks kwenye madeni na riba wanazolipa wanapo raise hela kupitia Bond markets, bado madeni ya nje ya nchi.

Kazi yenu kusifia tu mkiambiwa huo mkopo CRDB inaoenda kuchukua uingereza kwenye capital market kwa riba ya over 10% kulipa utaumiza wateja amuelewi. Jumlisha na currency inflation ya Tanzania.

Wakati Magufuli anawapambania kuondoa kupunguza unnecessary demand ya dollar ilikuzia demand pull inflation ya currency mlikuwa mnamtukana.

Kasome financial statements za hizo bank uone liability zao na currency inflation iliyopo ndio ujue mtatia akili.

Mnapenda kusifiana ujinga na kuwasikiliza wachumi uchwara kama hakina Zitto.

Magufuli alikuwa anawapambania watanzania msiojielewa.
 
Mkuu Magufuli alikuwa dikteta na ndiye aliyetufikisha hapa: usimtaje unawachefua watu.
 
Back
Top Bottom