Riba za mabenki

Ntajibu comment zote zilizoniuliza maswali kesho samahnini sana nlikua busy kidogo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Ntajibu comment zote zilizoniuliza maswali kesho samahnini sana nlikua busy kidogo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Tuletee na uhalisia kuhusu fixed interest rate. Mteja akiwekeza kwa miezi 3 na interest ni 8% kwa mwaka, atapata shilingi ngapi?
 


Mkopo wowote ukitaka kukopa chakwanza uliza RIBA ni DECREASING or FIXED/INCREASING RATE.
Ukisikia FIXED/INCREASING RATE kimbia.
 
Hivi anayepanga riba ni benki kuu au soko(wakopaji)?
 
sasa ndugu yangu kwa mishahara ya kitanzania unaweza kukopa mwaka kweli?
 
Mabenki kwa kiasi kikubwa ni wezi tu. Ukikopa milioni 10 unarudisha milioni 16 baada ya miaka 6. Ila kama huna chanzo cha mtaji hauna jinsi zaidi ya kukopa na kufanya kitu ulichokifikiria
 
Mabenki kwa kiasi kikubwa ni wezi tu. Ukikopa milioni 10 unarudisha milioni 16 baada ya miaka 6. Ila kama huna chanzo cha mtaji hauna jinsi zaidi ya kukopa na kufanya kitu ulichokifikiria

Yote ya yote! Hauwezi kuishi bila kuacha kukopa Unless you have family to support you.

Hata hao kina Mo wana madeni hadi kwenye chupi na ndio matajiri wakubwa.

Suali la msingi kwa nini unakopa ?

Kwa mshahara wa utumishi utajidanganya kama usipo kopa, hivo viela mpaka uvikusanye na shida za TZ ni ngumu.

Ishu ni kuwa na disciplines. Unakuta mtu anakopa kisha anaanza kutatua Shida za kwao, au anakopa kwa kwenda kuoa ni makosa lakini tunaheshimu mitazamo ya watu.

Wanamahesabu hawashauri kukopa na Kwenda kujenga nyumba ya kuishi ni sawa na kufukia pesa nchi.

Kopa kwa ajili ya biashara au kopa jenga pangisha.

Watanzania wengi hatuna heshima na pesa za mikopo ndio maana tunafilisiwa. Igeni wahindi wanamadeni snaa lakini hukuti majina yao kwenye minada ya mali zao.

Utasia Rose Mtui nyumba inapigwa mnada, Julius Ngosha , nyumba inapigwa mnada, Kingo Lissu etc etc Yaani ni wabongo tu

Nilikopa 15M kwa mshahara wa miaka hiyo niliwaambia bank wakate miaka 3 max deni liishe ; wakawa wananikata kama laki 4 na 60 hivi kwa Mwezi in 3 years.
Kibongo Bongo ukishika pesa ndio shida zinakuwa ni nyingi ; nakumbuka nilikaza sikugusa hata shilingi zaid ya kutoa laki 5 kama sadaka kwa maskini wa kweli Maana pesa za mikopo usipokuwa makini unajikuta mpunga umeisha na hujafanya kitu.

14.5 niliitumbukiza in business kama mjeshi vile kama gari bovu lisilo na dereva sikutaka ushauri wowote at that time, nikasema Hilo ndio nimeamua.

Biashara ilianza kwa kusua sua sana huku nasikilizia maumivu ya kukatwa laki 4 kwa mwezi. Mwaka uliofuata mambo yakaanza, nikawa siamini ninachokiona mbele yangu !

Nikafungua milango yote, nikaanza kuingia tamaa ya kuwa na biashara nyingi babake and I did that, nikaingia kko na Posta. From that point uoga wa biashara ukapotea.

Bank niliwalipa within 18 months , sikufika hata miaka 2 . Na baada ya kupiga hesabu ; nikajikuta bank nimewapa only 3 M Kama riba yao.

Point ya Msingi why unakopa ; usikope Sababu you have the opportunity to do that ; plan strategically then nenda Bank, kopa na usipende sana ushauri. Wewe amua, sikiliza wachache then GO!


Asikutishe mtu mikopo inaumiza sijui nini ; ni akili zetu ndio shida ; but mikopo ni mizuri.

Chukua mkopo kulipa Max 3 or less.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…