Yeye wamemwambia ngapi. Kina Mwijaku anawadanganya watu wanaingia kwenye mkengeRiba ni asilimia ngapi?
Mpaka sasa hamna wataalamu humu. Lilikuwa ni suala la kusema tu kwa mujibu wa sheria riba ni kuanzia x% mpaka y%. Tofauti na hapo ni ujuaji. Huyu mtu kakopa lakini alitegemea kumaliza mkopo mwezi wa 3, anashangaa naambiwa bado anatakiwa kurejesha.Mleta Mada Jiongeze Huwezi Pata Msaada Bila Ufafanuzi
Alikipa Kiasi Gani, Riba Alipokopa Walisema Itakuwa Ngapi
Vinginevyo Weka Mkataba Wa Ukopaji Hapa Ili Wataalam Wakupe Msaada
3.5% Interest rate.Mpaka sasa hamna wataalamu humu. Lilikuwa ni suala la kusema tu kwa mujibu wa sheria riba ni kuanzia x% mpaka y%. Tofauti na hapo ni ujuaji. Huyu mtu kakopa lakini alitegemea kumaliza mkopo mwezi wa 3, anashangaa naambiwa bado anatakiwa kurejesha.
Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing.
Kibaya wahusika hawaruhusu awalisilishe maulizo yake katika ofisi zao, yaani wale vijana wanajiita afisa mikopo ndio wanapiga kama PIN hivi, hawajafanya kwa mtu mmoja ni kama wana ka scheme.
Sasa nashindwa namna ya kumsaidia huyu mtu maana sijui wanariba asilimia ngapi kwa muongozo wa serikali.
Mpaka miaka hii watu wanauza application form za kuchukulia mkopo?3.5% Interest rate.
Ila Kuna gharama nyingine nyingi wanazoruhusiwa kutoza, zinajumlishwa kwenye Interest mfano:-
Loan application form.
Customer visiting cost.
Loan processing fee.
Loan insurance Cost.
Loan handling and documentation fee..
Hivi vyote ukichanganta unaweza para zaidi ya 20%
Toa maelezo vizuri utapata msaada Kwa uzoefu wangu maeneo nilipo Microcredit wanatofautiana utoaji wa mikopo na riba zakeHizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing.
Kibaya wahusika hawaruhusu awalisilishe maulizo yake katika ofisi zao, yaani wale vijana wanajiita afisa mikopo ndio wanapiga kama PIN hivi, hawajafanya kwa mtu mmoja ni kama wana ka scheme.
Sasa nashindwa namna ya kumsaidia huyu mtu maana sijui wanariba asilimia ngapi kwa muongozo wa serikali.