Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 368 Jun 22, 2015 #1 Habari ni wadau,naomba kujuzwa kwa wanaojua,nimesikia benki hulipa interest nzuri kwa akaunti ya mtoto,napenda kujuzwa ni asilimia ngapi hulipa kwa Mwaka,na je wanalipa kipindi gani,ni kila unapoweka hela au mpk Mwaka uishe?
Habari ni wadau,naomba kujuzwa kwa wanaojua,nimesikia benki hulipa interest nzuri kwa akaunti ya mtoto,napenda kujuzwa ni asilimia ngapi hulipa kwa Mwaka,na je wanalipa kipindi gani,ni kila unapoweka hela au mpk Mwaka uishe?