Ricardo Momo: Simba anashinda kesho

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Mchekeshaji wa kipindi cha michezo cha Sports Arena kupitia Wasafi Fm Ricardo Momo anasema kutokana na elimu ya nyota aliyonayo ameona jinsi ambavyo Simba kesho anaenda kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga!

Muda wa mechi pia unaibeba Simba kuliko Yanga katika masuala ya nyota! Aliongeza Ricardo Momo a.k.a Mzee wa za ndaaani kabisa

Una maoni gani?
 
Alikua ana chekesha wewe unachukulia serious
 
ohoo ohoo ooooo, huyo tapeli anawadanganya huyo, ipo hivi msimu ulio pita Mauya aliwapiga dakika ya 11 ya mchezo, kwenye ngao ya jamii Mayele na yeye akawatandika dakika ya 11, sasa game ya kesho ni tarehe 11, saa11 jioni …...apo kinyota ipo hivi kesho makolo wata uwawa si chini ya bao 2, yaani pona pona yenu kesho msikanyage uwanjani
 
Fala huyo.. Kwan mechi zote anazofungwa Mikia Zinakuwa saa ngapi..?
Kwa kikos changu hiki Simba hawez kutoboa kwa kweli
 
Yaani akili zako wewe umeshikiwa na Ricardo Momo. Yeye ndio anafanya Thinking.
 
Umeandika ugoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…