Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 623
- 378
una heka ngapi!?Habari zenu wakuu,
Nina shamba la mpunga Nzega vijijini, nategemea kuanza kuvuna mwezi wa tano.
Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Tabora naomba tuwasiliane tufanye kazi maana nina ekari nyingi. Gharama ya kuisafirisha kutoka ilipo mpaka shambani kwangu ni juu yangu.
Heka 50
Heka 50
Hizo ni za kwangu tu ukijumlisha na wanazengo ziko zaidi ya 300Hela 50 Si Anavuna siku mbili tu. Organise na wanazengo wengine zikifika 100/150 inakuwa Rahisi kupata combine.
Sent using Jamii Forums mobile app