Habari zenu wakuu
Nina shamba la mpunga morogoro vijijini nategemea kuanza kuvuna wiki mbili zijazo.
Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Morogoro naomba tuwasiliane tufanye kazi maana Nina ekari nyingi. Gharama ya kuisafirisha kutoka ilipo mpaka shambani kwangu ni juu yangu lakini uwe na dereva wako