The Inquisitive
Senior Member
- Oct 27, 2010
- 177
- 29
The best book I have ever read in my life, it changed my whole life. If you want to be a businessman and haven't read that book, I am sorry for you. Lucky for me I read the book in high school.
YouTube - Robert Kiyosaki - Rich Dad Poor Dad part 9
YouTube - Robert Kiyosaki - Rich Dad Poor Dad part 10
YouTube - Robert Kiyosaki - Rich Dad Poor Dad part 11 last
Pateni nondo kwa ufupi wakuu tuondoe mawazo mgando hii ni elimu ya msingi kabisa inakuonyesha upo wapi na kushape mtazamo wako upya kama wewe ni mjasiriamali!
The best book I have ever read in my life, it changed my whole life. If you want to be a businessman and haven't read that book, I am sorry for you. Lucky for me I read the book in high school.
Mi ninacho lakini kipo katika hali ya pamphlet na hakina kurasa zote.Ningependa kupata kitabu chote kabisa.Ni bei gani na kina kurasa ngapi?Mi nimeanzia ukarasa wa 3 mpaka 28.Nitakuwa nimekosa vitu vingi sana?Naomba mwenye kujua aniambie.Pia kama kuna kingine fabolous kama hicho naomba jina na bei.Natanguliza shukrani wakuu.
naomba nondo kama hizi kama mtu anakua na soft copy atuwekee,huku Jf napenda kitu kimoja kikubwa ni ushirikiano na kusaidiana tena kama vile tunafahamiana in reality maana hivi vitabu ni ghali sana wengine hatumudu kununua,kuna mtu aliniwekea vitabu fulani humu ikiwemo kile cha research by Kothari kimekua msaada sana kwa mdogo wangu ambaye naye amewapa copy wengine,shukrani sana kwa membernaona ametoa kitabu kingine cha ujasiriamali nikikichukua nitatoa data zaidi anacho jamaa yangu