Rich Dad, Poor Dad by Richard T. Kiyosaki

Ndugu mim natafuta cha retire young wewe ulikinunua wapi kwa bei hiyo nikitafute..daaah kwa kweli sasa hivi nimekua mvivu hata wa kusoma aisee hivi vitabu ukisoma vinabadilisha akili yako kabisa!!
 
Ndugu mim natafuta cha retire young wewe ulikinunua wapi kwa bei hiyo nikitafute..daaah kwa kweli sasa hivi nimekua mvivu hata wa kusoma aisee hivi vitabu ukisoma vinabadilisha akili yako kabisa!!

BookWorld, Business Park, Shekilango.
 
"Asset buy luxuries and what rich teaches their kids about money,the middle class and poor do not?.robert kiyosaki.kuna mama watoto wake kila cku jioni anatenga lisaa kwa ajil ya kuhesabu pesa za biashara zake,na anawafundisha watoto wake kuhusu busnec,wapo watoto wake wana MBA Za malayshia lakn yeye ana diploma tu,anawaachisha kaz na anaanza kuwazungvsha china na kuwafundisha biashara."elimu inaanza pale unapomaliza shule
 
Hivi vitabu hata Ukisoma 1000 ni kazi bure, Bila kutake action haisaidii chochote na sana sana watu wana visoma kjiburudisha, Kuchukua hatua haitaji usome kitabu, Kama hubna Spirt ya Entreprenership ni kazi bure, Kuna jamaa angu alisha soma karibia vitabu vyote hivyo ila mwambie kuhusu kujiajiri,

Kwa kifupi alio chukua hatua hakuna hata mmoja aliye soma hivyo vitabu, make vimekaa ki theory zaidi na waandishi wamebase kufanya biashara
 

Kwa hiyo theory zilizomo hazi-work kwenye mazingira yetu ama ni kwamba hazifai kabisa.
Na tuseme yaliyomo hayawezi kumtia mtu moyo na akathubutu?
 
It really changed the way I have to think about money,,,and I am sure I am on my way to be financially free in the near coming future.
 

Umezidisha chumvi..Knowledge is power..Watu wengi wanapata hiyo spirit kwa kuwa motivated either kwa watu wanaowazunguka , mazingira au vitabu kama hivi.Usikatishe tamaa wenzio acha tusome
 
Ya,kuvisoma na kutake action ni muhmu.ndo maana mwandish kaelezea mwisho kwamba HOW CAN I GET STARTED?.JAMAN SOMEN VITABU NA CHUKUA ATUA,WATU WENG TUNAVISOMA SANA BILA KUCHUKUA HATUA,SO BILA ACTION UNAWEZA VISOMA VING BLA MAFANKIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…