'Rich dad-Poor dad' by Robert Kiyosaki

'Rich dad-Poor dad' by Robert Kiyosaki

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
Reading this book 'Rich dad-Poor dad' by Robert Kiyosaki and it says,the most dangerous advice you can give a child is 'Go to school,get good grades and look for a safe secure job.



Wadau, nyinyi mnasemaje kuhusu hili?
 
Nilipokisoma kitabu hiki ujumbe nilioupata ulikuwa ni kwamba kwenda shule na kupata vyeti sio guarantee kuwa utafanikiwa maishani; education is necessary but not sufficient on its own to guarantee someone success in life!!
 
ni kweli huo ujumbe umetulia coz Mwanafunzi akishupalia huo ujumbe na kukipu other factor costant lazima aje kulaumu kwani atakuwa ameluck other life knowledge,tena zilizo na msingi hasa zikiambatanishwa na hiyo elimu.UJumbe unatahadhalisha kuwa mtoto ASIJENGWE UPANDE MMOJA WA UBONGO WAKE.
 
Reading this book 'Rich dad-Poor dad' by Robert Kiyosaki and it says,the most dangerous advice you can give a child is 'Go to school,get good grades and look for a safe secure job.

Wadau, nyinyi mnasemaje kuhusu hili?
You have read out of context, read the entire book you will understand what he means. It is one of the best book, i recommend each Tanzanian to read
 
Education is the knowledge of no how.............think big.
 
kitabu kina content nzuri lakini kiyosaki amedanganya baadhi ya vitu kama ile stori ya baba wa rafiki yake(rich dad). rich dad ni made up person to support the story. lakini kuna stori nyingine nzuri kwenye kitabu kama ya yule mwanajeshi mstaafu aliyekuwa anauza viungo(spice), story ya alexander bell aliyetengeneza simu ya kwanza na nyinginezo. nafikiri inaendana na ushauri uliotolewa kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...aduates-wote-na-kaka-dadas-mliopo-vyuoni.html
 
Kama wewe ni mjasiriamali na hujawahi kusoma hiki kitabu basi 'consider yourself to b as good as an extant person in entrepreneurship'
 
Kama wewe ni mjasiriamali na hujawahi kusoma hiki kitabu basi 'consider yourself to b as good as an extant person in entrepreneurship'

Born entrepreneurs don't necessarily need to be motivated by books! They sense opportunities and seize them!
 
Not dangerous advice like you are trying to amplify, but he wanted to insist that apart from encouraging your son to study hard and get good grades, you should as well teach him how to make money. With good grades you get good job use that job to get experience to start owning yours.
 
Back
Top Bottom