Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

Kwani hizo pesa zilikuwa zake?
 
Hawa jamaa ingekuwa Bongo wangeshtakiwa na kufungwa kifungo cha miez walau sita kwa kosa la kucheza na mali ya serikali.

Pesa ni mali ya serikali na zina printiwa kwa idadi kulingana na mahitaji ya mzunguko, sasa kwa huko UG sijui serikali yao inawachuliaje hao jamaa
 
Ninavyowajua wa-Ganda labda jeshi la polisi lihamie hapo
Acha ujuwa ati unawajua waganda....mbona hadi sasa hakun kilichotokea....?wabongo bana ndo maan hatuendelei kujifanya kujua ndo kazi yetu hata kama hatujui
 
Acha ujuwa ati unawajua waganda....mbona hadi sasa hakun kilichotokea....?wabongo bana ndo maan hatuendelei kujifanya kujua ndo kazi yetu hata kama hatujui
kaburi linalindwa na askari wenye bunduki kabisa
 
Alooo, kweli kabisa....!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

KILA SIKU NASEMA HAMSIKII WATU WEUSI WAJINGA " TUNAMATATIZO MANGAPI YAKATUSUMBUA... UGANDA MASIKINI MPAKA BASI... AFRICA ZIMA HOI.....NDIO MAANA WAZUNGU WATATUITA " MONKEYS" HATUNAUWEZO WAKUONA MBALI. MBONA WAO HAWAFANYI HAYA NA WANA MIELA MUNGU MPAKA BASI...BILL GATE KILA SIKU ANASAIDIA WATU DUNIANI HASA HUKU AFRICA...NA SHULE PIA INASAIDIA
 
Yule Jamaa wa Arusha anaweza watuma wajeda wakafukue ili tujengee hospitalli
 
maskini hawaishi
maskini hawaishagi hata kama hiyo pesa bill gate na Ivan wakigawiwa
 
Iv wadau Yale mapesa yaliyokua yanatupwa kwa wingi kama mchanga kwenye kaburi la Ivan huko Uganda maana yake ninini?

Naomba kueleweshwa kwasababu walikua wanafanya kama sifa ...au ni dini gani ile?
 
Si mnamsemo mnasemaga kwani utazikwa nazo Sasa yeye kategua kitendawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…