Rich gang: Mume wa Zari yuko tayari kumfadhili Ali Kiba

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Ivandon x - husband wa zari amejitolea kumfadhili Ali Kiba, kwa kuwa anaamini ni bora zaidi ya Diamond Platnumz.

Kiba utafanyaje brother?nyanyua simu uwapigie..ushauri wangu
 

Attachments

  • 1431207888615.jpg
    62.8 KB · Views: 3,290
  • 1431207905368.jpg
    60.3 KB · Views: 2,965
Inawezekana ni baada ya kusoma majigambo ya diamond platnumz kuhusu tuzo za KTMA
 
Huyu na mwanamke wake washajua baadhi ya watz hujo insta akili zao fupi kama nywele zao.... hivyo wanazitumia kupata umaaryfu mav.i
 
Naona kumekucha haya acha watengeneze pesa Waganda kupaisha msanii wa Tanzania.

Tusubiri kuona kama Kiba atakubali wafadhili hao kama anawahitaji.
 
kiba awe makini tu hapa.

Haya mambo ya kusaidiana kati ya tajiri na msanii tena bila contract ni mabaya .
 
Wema amepost picha hizo kwenye insta kumwombea apigiwe kura...wamezitoa huko.

Ndio mkuu, lakini motive ya kutaka kumsapoti inawezekana kabisa ni related na anayofanya diamond, kumpiga mimba x - wife, na kujigamba bia hawezi kushushwa
 
Ndio mkuu, lakini motive ya kutaka kumsapoti inawezekana kabisa ni related na anayofanya diamond, kumpiga mimba x - wife, na kujigamba bia hawezi kushushwa



Diamond uwa anaheshimu sana fans wake.

Hiyo ya hawezi kushushwa ni ujumbe kwa wa husika waliomfanya aandike msg ile ndio amewaambia hayo.

Na kuna la nyuma ya pazia hatulijui sie wadau kilicho msukuma kuandika yale yote as sio kawaida yake, ana vumiliaga mengi sana kwa hili kuna jambo zito sanaaa.

Hao rich gang wanatafuta kiki walipoa karibu kusahaulika pia...wamerudi wanatetemesha wa TZ tena. Watajiju na wanaotaka kuhusika nao.
 

Wanatafuta kiki kwani wanauza nini?Mi nadhani ni bunch of street rich thugs wanaouguza kidonda cha kugongewa, wanataka kulipiza kisasi kwa kumsapoti kiba ili amuondoe platnumz
 
Yeah! - Niggas send me the wrong message, we gon' fucking kill the messenger
 

Hahaha unamapenzii Haswa na Almasi, yaani Mpaka Yamepitiliza, Lakin Ndio Vizur
 
Mapenz mabaya sana ni chanzo cha vita, jamaa Ivan bado ana hasira za mke wake kubebwa, lakini sijui hasira za nini maana si walishaachana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…